cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Mda wa kazii huu uduguu, em subirii baadae.😹😹😹 Breakfast chai ya saa tatu..!!
Wanatuchosha bana weeeh, mi watu tunaijua vyedi inatumalizia miti tu..!!
Nyoko nyoko nyingi oohh.! Sisi habari zetu hamuwezi kuzipata mpaka tuamue kuwapa..!! Mtsiewwww kwa habari gani??
Sisi habari zao tunazipata jumla jumla haya waje tuwape habari zao motomoto mubasharaaaaa..!! 😹😹😹
Uwe muuzaji JF hafu tusikukamate thubutuuuuuu..!! Wambea oyeeeeee
😂😂😂