spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,915
- 23,531
Wako wapiOooh haya sasa, kumekuchaa!!
Mahansamu wanatetemesha uzi leo.
🔥🔥
Wako wapiOooh haya sasa, kumekuchaa!!
Mahansamu wanatetemesha uzi leo.
🔥🔥
Mali piru🔥 🥰🙌🏾.
Pita sasa nmeshapitaEeeebanaeeee 🙆♀️🔥🔥🔥🔥 nimekuona Dada hivi umeshushwa??? Ni mcute mno ulivyokuwa age yetu ilikuwaje?
Si unaona kumbe hunijui 😀😀, achana na maneno ya watu nisikilize mimi
Ooooh hatimaye mremboo nimekubamba live.
Tangu nianze kuona pisi za humu sijaona mbovu au TUNAPIGWA 😄 ?Mali piru
Wewee, 😂😂😂Wako wapi
Hizi nyingi sizijui hata mimi leo nmeona mama kali tupu uzi huu una pisiTangu nianze kuona pisi za humu sijaona mbovu au TUNAPIGWA 😄 ?
Bana we! 😅Eeeebanaeeee 🙆♀️🔥🔥🔥🔥 nimekuona Dada hivi umeshushwa??? Ni mcute mno ulivyokuwa age yetu ilikuwaje?
Huyo wa kwenye picha labdaWewee, 😂😂😂
😂😂😂 umeanza vawulensiii.Tangu nianze kuona pisi za humu sijaona mbovu au TUNAPIGWA 😄 ?
😂😂😂Huyo wa kwenye picha labda
Au leo nawe umeonja kitu😁
Shukrani mwanetu!Ooooh hatimaye mremboo nimekubamba live.
🔥🔥🔥, wee ni mzureee hadi unakeraaa.
Jah kakubless kila kitu mwanetuu.
Picha langu halisi nlipita nalo last week
Wakanambia napokea ekaristPicha langu halisi nlipita nalo last week
Ndomana wengi wanakimbilia PM wanakosa uvumilivu.😄Hizi nyingi sizijui hata mimi leo nmeona mama kali tupu uzi huu una pisi
Hadi nimecheka kwa sauti. Majuu wapi mkuu? Kawaida tuDadiiii!! Ukiwa unaenda majuu tena plz nibebe na mie kaniache huko, ntajichanganya mwenyewe.