Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,788
- 34,782
Serious, nakujua. Huamini?Hahahaa utakuwa umekunywa kakitu! Unamjuaje mtu nyuma ya ids fake?
Hongera sana mkuu
Dahh basi sawa ntafanya sajari, na nitakukomesha pimbi wewe!!Ww na hicho kitambi chako hapana, huwez kuwa hata top five kutokea mwisho.
Nimeghairi we ni nyoko tu kama nyoko zingineπNazitaka π
Leta namba yake tumtumie bando akae rada mkuu π₯Hongera sana mkuu
Huyo dogo yupo slow sana hamtafika kokote. Nakuambia ukweli, change your mindππ sahii basi tena maana hutaki kuelewa β¦β¦β¦β¦
Kabisaaa ππ½Nimekubali anajua aisee, pale kwa Tayana kapata mtu haswaaπ₯
Aanh kutishana tenaπ₯Ήπ«΄πΎNenda ukang'olewe hizo figo ziuzwe.
Siamini aisee!Serious, nakujua. Huamini?
Mimi ninayo ila namimi nikatie changu cha udallaiπLeta namba yake tumtumie bando akae rada mkuu π₯
Mkuu usipate shaka, huyo tayari ni wako. Sasa hivi yupo busy kidogo subiri kuda SI mrefu atakua free mtaongeaLeta namba yake tumtumie bando akae rada mkuu π₯
π πSiamini aisee!
Ondoa kwanza kitambi then uje πDahh basi sawa ntafanya sajari, na nitakukomesha pimbi wewe!!
Tayana ni mtu mzuri sana alafu ana heshima sanaKabisaaa ππ½
Una vibunda kama vya mfalme wetu au kunichosha tu?πOndoa kwanza kitambi then uje π
Sanaa!! Anajielewa sio siri..Tayana ni mtu mzuri sana alafu ana heshima sana