mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
Acha hizo.Nipite kwenda wapi? 😀nishakutumia album Pm
Acha hizo.Nipite kwenda wapi? 😀nishakutumia album Pm
Ulininukuu vibaya.Ndiyo 💯
Punguza njaa ww fala, zitakutokea puani kiande wwJamani namba yangu iwe ya kwanza kwenye hizo list zenu
😀😀 tatizo lako huniamini Dear CrushAcha hizo.
Mm sitak kuvumiliwa, nataka unipe stress 😎Hujui masingo maza tunavumilia mpaka machokoraa msio na ela, shauri lako!
Sawa mkuu, chaguaWeka list na namba ya m-pesa mkuu punguza maneno 🏃🏽♂️
Yayari mkuu, kachague. Hakuna mkate mgumu mbele ya chai
😂😂 mshamba_hachekwi huyu Kaka yako unamuona lakini?Sawa mkuu, chagua
- Chica
- Tayana
- Lamomy
- Seran
- Felista
- Dalin
- Fake P
- Saint Anne
Ngoja kwanza mkuu MFALME WETU achague, akiangukia kwako tunamaliza kazi😂😂 mshamba_hachekwi huyu Kaka yako unamuona lakini?
YESMimi unanijua?
Achague hao wengine mimi simtakiNgoja kwanza mkuu MFALME WETU achague, akiangukia kwako tunamaliza kazi
“Nashindwa kuwaelewa”Sawa mkuu, chagua
- Chica
- Tayana
- Lamomy
- Seran
- Felista
- Dalin
- Fake P
- Saint Anne
Sijawahi kuona mwanaume mbeya kama huyo.😂😂 mshamba_hachekwi huyu Kaka yako unamuona lakini?
😀😀“Nashindwa kuwaelewa”
Chica Tayana Lamomy Seran Saint Anne Fake P wote hao washachukuliwa
Nipe huyo Dalin mkuu aje tumalizie pesa za urithi 🔥🏃🏽♂️
Hawajachukuliwa, wewe chagua kwa uhuru.“Nashindwa kuwaelewa”
Chica Tayana Lamomy Seran Saint Anne Fake P wote hao washachukuliwa
Nipe huyo Dalin mkuu aje tumalizie pesa za urithi 🔥🏃🏽♂️
Amenishinda tabia 😂😂 umeiona lakini MnyamweziSijawahi kuona mwanaume mbeya kama huyo.
😅😅😅😅Sijawahi kuona mwanaume mbeya kama huyo.
Nipe Tayana mkuu huyo Darlin kwanza simjui af upo slow kinoma mpaka naingiwa mashaka 🏃🏽♂️Hawajachukuliwa, wewe chagua kwa uhuru.
Au umempenda huyo huyo Darlin?