Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 3,964
- 11,078
Kwenye hizo pumba tulichambua Mabaki ya mahindi/Mpunga 🦦Mm n tofauti, nikilewa naongea pumba 😎
Kwenye hizo pumba tulichambua Mabaki ya mahindi/Mpunga 🦦Mm n tofauti, nikilewa naongea pumba 😎
Mm sio mali ya nyie single mothers 😎Siwezi kuolewa na chokoraa na unajua, andazi wewe!!😎
Nipo serious mkuu. Nikupe list alafu wewe useme unapenda yupi then tufanye jambo. Nasisitiza nipo seriousKama sio kunipanga niweke chapu kabla sijafumaniwa 😁
Kumbe basi mpambanie dogo huwezi jua!Hakuna commission ni dogo langu nalikubali sana
Uzee huu unafanya niwe mvivu kuwinda, au kuna sehemu unaona nafaa nikae?
So ukaitimisha na kuniamini nilichosema?Kwenye hizo pumba tulichambua Mabaki ya mahindi/Mpunga 🦦
Takataka wewe🚮Mm sio mali ya nyie single mothers 😎
Kwani wewe ndio una access ya watu humu ndani? Ngoja umpe senge mwenzio🙆🏽♀️Nipo serious mkuu. Nikuoe list alafu wewe useme unapenda yupi then tufanye jambo. Nasisitiza nipo serious
Weka list na namba ya m-pesa mkuu punguza maneno 🏃🏽♂️Nipo serious mkuu. Nikuoe list alafu wewe useme unapenda yupi then tufanye jambo. Nasisitiza nipo serious
Ndiyo 💯So ukaitimisha na kuniamini nilichosema?
Fala nnTakataka wewe🚮
Humu wote nawajua, hawezi kuangukia huo upande wa pili(wa kina coca)Kwani wewe ndio una access ya watu humu ndani? Ngoja umpe senge mwenzio🙆🏽♀️
Naam. Wakati ni huu crush wangu. Pita nikuone.Muda ndiyo huu. Countrywide
Ameshtukia mchezo huku ndani kuna matapeli, anataka apige huku na huku lazima ukikutana nacho ujihami kidogo! Yuko sahihi, muache! Angalia kwingine..Yule bana tokea agombane na felista amebadilika sana, hata sielewi kwa nn asee. Tulikua vizuri tu lakini sasa hivi kabadilika
Nipite kwenda wapi? 😀nishakutumia album PmNaam. Wakati ni huu crush wangu. Pita nikuone.
Jamani namba yangu iwe ya kwanza kwenye hizo list zenuWeka list na namba ya m-pesa mkuu punguza maneno 🏃🏽♂️
Huyo huyo, mdogo wangu kabisa. Shida yupo slow sanaCountrywide huyo dogo asijekuwa my Crush mshamba_hachekwi 😩😂
Hujui masingo maza tunavumilia mpaka machokoraa msio na ela, shauri lako!Fala nn
Mimi unanijua?Humu wote nawajua, hawezi kuangukia huo upande wa pili(wa kina coca)
😀😀😀 kumbe😩Huyo huyo, mdogo wangu kabisa. Shida yupo slow sana