Selfika na JF: Snap it. Show it

Kantry kanifanya nionekane nna pesa humu wakati ni uongo mtupuuu..!! Nimechalala ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Kuna member mpaka kaniomba date tukutane Dubai wakati mwenzie sijawahi kupanda ndege..!! ๐Ÿ˜น
Ungekubali akukatie go and return, unaenda kuenjoy unarudi, K ataisikia kwa jirani yake! Ila vya bure vigumu bwana bora ulivyokataaโ€ฆ

Anajua kujaza huyo, usipokua makini anakuingiza chaka unione nna roho mbaya bure mate..!!
Mate kila mtu anajua una duka kariakoo, unadhani ni mchezo mdogo huo?
 
Ungekubali akukatie go and return, unaenda kuenjoy unarudi, K ataisikia kwa jirani yake! Ila vya bure vigumu bwana bora ulivyokataaโ€ฆ
Mi muoga jamani kukutana na raia wa humu.
Namjua mkongwe lakini nahisi kina mafwele tu..!!

Hiyo kuzama pm tu njia iliyotumika nabaki kucheka..!! ๐Ÿ˜น

Mate kila mtu anajua una duka kariakoo, unadhani ni mchezo mdogo huo?
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Nashinda kkoo mi winga sina duka mate..! Kkoo kilemba million 80 naikuta wapi?
 
Mi muoga jamani kukutana na raia wa humu.
Namjua mkongwe lakini nahisi kina mafwele tu..!!
Kwa kweli na ulivyo lele lele siasani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hiyo kuzama pm tu njia iliyotumika nabaki kucheka..!! ๐Ÿ˜น


๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Nashinda kkoo mi winga sina duka mate..! Kkoo kilemba million 80 naikuta wapi?
Kama sio leo kesho inshallah tutafika๐Ÿ”ฅ
 
Kwa kweli na ulivyo lele lele siasani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ninavyowasuuza na kuwachefua, halafu anavyojifanya naye anawaponda veggies sasa..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Tatizo member wa humu hawatabiriki, Iโ€™d hii inaponda veggie kumbe afisa kipenyo anawachora tu..!! ๐Ÿ˜น
Kama sio leo kesho inshallah ๐Ÿ”ฅ
Inshallah in Jesus name ๐Ÿ™
 
Ninavyowasuuza na kuwachefua, halafu anavyojifanya naye anawaponda veggies sasa..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Tatizo member wa humu hawatabiriki, Iโ€™d hii inaponda veggie kumbe afisa kipenyo anawachora tu..!! ๐Ÿ˜น
Kuna ID moja ina hiyo tabia nikiona comment yake ntakuita ucheke ๐Ÿ˜‚ Tukae kimasta. Kusema ukweli JF inatisha siku hizi mbona zamani kulikuwa hakuna kuogopana?
Inshallah in Jesus name ๐Ÿ™
 
Kuna ID moja ina hiyo tabia nikiona comment yake ntakuita ucheke ๐Ÿ˜‚ Tukae kimasta. Kusema ukweli JF inatisha siku hizi mbona zamani kulikuwa hakuna kuogopana?
Ipi hiyo? ๐Ÿ˜น
Kuna watu wapuuzi humu..!

Kuna babu miga na wenzie wana tabia ya kuomba mkutane kisha analeta risiti humu jukwaaniโ€ฆ Hao ni hatari sana..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Zamani ipi?
Kuna kina manengero na demiss mbona waliletwa hapa na wakongwe wenzao..!!
 
Ipi hiyo? ๐Ÿ˜น
Kuna watu wapuuzi humu..!

Siikumbuki vizuri lakini huwa naibamba mara nyingine inaponda serikali wakati mwingine inafanya uchawa.
Kuna babu miga na wenzie wana tabia ya kuomba mkutane kisha analeta risiti humu jukwaaniโ€ฆ Hao ni hatari sana..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Dah ๐Ÿ˜€ tumekwisha.
Zamani ipi?
Kuna kina manengero na demiss mbona waliletwa hapa na wakongwe wenzao..!!
Ila kweli ๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ