Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,788
- 34,782
Ikifikia hiyo siku nishtue, huyu tunammudu. Nna uhakika hawezi kukuzingua, wewe ni wa tofauti๐ฅHata asipokubali namngโangโania ๐
Naona anabisha bisha tu hajui nitashusha files zote๐ ๐Country ni mbea tu lakini sio Muongo ๐
Ni mtu anayetoa taarifa ya kweli ambayo haikuwa lazima kuitoa ๐
Guu la champagne ๐ฅTutakufatilia ๐๐๐View attachment 3676023
Bado unaendelea kubisha? HayaKantry kanifanya nionekane nna pesa humu wakati ni uongo mtupuuu..!! Nimechalala ๐น๐น
Kuna member mpaka kaniomba date tukutane Dubai wakati mwenzie sijawahi kupanda ndege..!! ๐น
Anajua kujaza huyo, usipokua makini anakuingiza chaka unione nna roho mbaya bure mate..!!
Acha uongo wewe sio winga๐น๐น๐น Nashinda kkoo mi winga sina duka mate..! Kkoo kilemba million 80 naikuta wapi?
Ngoja nikueleze ukweli maana anataka kukuongopeaMate kila mtu anajua una duka kariakoo, unadhani ni mchezo mdogo huo?
Aaliyah wewe ni definition ya neno upole. Nikikuonaga tu neno upole huwa linajia kichwaniWewe sio mzungu kweli jamn
punguza vitu kwenye simuYaani kama mzungu hongera
Huko ninakuja sio mda simuyangu inachangamoto kidogo ya storage so nipate mpya kwanza nitarudi๐๐
Nimeogopa sana! AloooNgoja nikueleze ukweli maana anataka kukuongopea
Sio ana duka tu, bali ana maduka mawili makubwa ya jumla hapo kkoo.
Moja ni la handbags(hiyo mikoba na mapochi yenu hayo kina dada)
Duka la pili ni la high heels na wedges(viatu vyenu kina dada)
Kumbe tunaishi na watu wana magorofa humu ๐๐ปโโ๏ธ๐๐ปโโ๏ธ Nyie nyieeeAna ghorofa, na ndio anapoishi. Hawa ni wale waliowahi mapema kununua viwanja mbweni vikiwa bado bei haijachangamka sana kama sasa.
Pia ana mjengo(apartments) kibada - kigamboni. Hizi kajenga mwaka juzi 2024, mimi shahidi toka anaanza hadi anamaliza. Wote tulikua na ujenzi wakati huo
Hivi Nyie ni watu au freemason.Ana biashara pia ya pharmacy, hii pharmacy ni ya jumla na reja reja.
Siku ukienda kkoo kwenye maduka makubwa ya jumla ya hizo handbags na hizo high heels, ikatokea ukamkuta Kuna dada mweupe ana kamzigo nyuma alafu jina lake linaanzia na P linaishia A, basi jua ndio huyu lamomy anayezurura humu.
Haya niliyokueleza nipo tayari unishikishe biblia niape.
Asikuongopee huyo
Ni mpole sana, natamani kuwa kama yeye. Sema mimi nimechanganyikiwa ๐Aaliyah wewe ni definition ya neno upole. Nikikuonaga tu neno upole huwa linajia kichwani
Nilikumiss
Humu anazurura sababu ana vijana wake pale dukani hata asipoenda mwezi mzima biashara inaenda kama kawaida. Hata akienda yeye busy na simu tu labda wawepo wale wateja wake wakubwa ambao wengi ni wacongoNimeogopa sana! Alooo
Yes ghorofa analo na ndio anapoishi yeye dada wa kazi, kijana mmoja, dogo mmoja hivi na kabinti flani hivi ka ndugu. Hawapo wengi sana.Kumbe tunaishi na watu wa magorofa humu ๐๐ปโโ๏ธ๐๐ปโโ๏ธ Nyie nyieee
Ukiacha hizo za kibada kigamboni, pia Kuna sehemu panaitwa vikunai karibu na huko huko kibada napo ana mjengo japo sikuwahi kuuona Wala kujua kama kamaliza au bado.Now i rest my case ๐๐ป
Hii ya pharmacy nilikua sijakueleza deep vizuri, biashara ilikua ya pharmacy ila baadae ilipokua vizuri sana alianzisha polyclinic hapo hapo, so hapo Kuna pharmacy na polyclinic pia hapo hapo na inafanya vizuri tu.Hivi Nyie ni watu au freemason
Aaliyah upole wake umezidi bana, mtaani watakua wanamuonea sana๐ ๐Ni mpole sana, natamani kuwa kama yeye. Sema mimi nimechanganyikiwa ๐
Huu ni uongo wa mchana!โฆ.
Hawa ni wale waliowahi mapema kununua viwanja mbweni vikiwa bado bei haijachangamka sana kama sasa.
Nafuta vitu hadi nimechoka sasa yaani nzito hasa jamnpunguza vitu kwenye simu
Hayo ndio mambo sasa..!! ๐ฅ๐ฅGet ready, naandaa list kesho nakuja nayo๐ ๐
List ije konkiiii ๐ฅDon't worry Hilo suala lako kesho tunalimaliza, list inakuja๐ฅ
Wewe kwa kuongeza chumvi huna mpinzani..!! ๐น๐นUngejua nilipo muda huu Wala usingebisha hili nililosema, shauri yako ngoja nifungue files๐ ๐
Unataka kunipa cheo gani?Acha uongo wewe sio winga
๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐นNgoja nikueleze ukweli maana anataka kukuongopea
Sio ana duka tu, bali ana maduka mawili makubwa ya jumla hapo kkoo.
Moja ni la handbags(hiyo mikoba na mapochi yenu hayo kina dada)
Duka la pili ni la high heels na wedges(viatu vyenu kina dada)
Ana ghorofa, na ndio anapoishi. Hawa ni wale waliowahi mapema kununua viwanja mbweni vikiwa bado bei haijachangamka sana kama sasa.
Pia ana mjengo(apartments) kibada - kigamboni. Hizi kajenga mwaka juzi 2024, mimi shahidi toka anaanza hadi anamaliza. Wote tulikua na ujenzi wakati huo
Ana biashara pia ya pharmacy, hii pharmacy ni ya jumla na reja reja.
Siku ukienda kkoo kwenye maduka makubwa ya jumla ya hizo handbags na hizo high heels, ikatokea ukamkuta Kuna dada mweupe ana kamzigo nyuma alafu jina lake linaanzia na P linaishia A, basi jua ndio huyu lamomy anayezurura humu.
Haya niliyokueleza nipo tayari unishikishe biblia niape.
Asikuongopee huyo
Hakuna hata moja la ukweli usimsikize ๐น๐น๐นNimeogopa sana! Alooo
Kumbe tunaishi na watu wana magorofa humu ๐๐ปโโ๏ธ๐๐ปโโ๏ธ Nyie nyieee
Now i rest my case ๐๐ป
Hivi Nyie ni watu au freemason.
๐ฅ ๐ฅ ๐ฅ ๐ฅ ๐ฅ