Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Dah! š¹Ulitaka kumuongopea Binti kiziwi, sio vizuri
Naona umeamua kunivurugia urafiki wetu na mate wangu..!!
Dah! š¹Ulitaka kumuongopea Binti kiziwi, sio vizuri
Wapo wengi humu ā¦.Ahsante sana, uzuri kumbe mifano unayo. Huyu huwa anajifanyisha hivi ili kukwepa kusaidia mtu ambaye serious anahitaji support flani au kushikwa mkono.
Huna deni kama mama yenu šš©Sababu yako wewe ndio nikaona niandike ukweli ili siku ukiamua upite hiyo njia alafu akizingua basi ujue tu rmekufanyia roho mbaya. Lakini nina uhakika kwako hawezi chomoa
Awesome šš»Sasa hivi umri inabidi mambo mengi ya hovyo niweke kando, nina forty now so lazima nibadilike zaidiš
Au sio š¹Ukweli nimeusema, mwenye masikio na asikie
š¹š¹š¹ Na wewe umekubali kudanganywa?Mate habari zako tunazooooo šš»šš»šš»šš»
š¹š¹š¹ Utafanya nishindwe kusaidiwa sasa na hizi sifa za uongo unazonipa..!!Utanisamehe jana niliamua kusema ukweli baada ya kuona unataka kumuongopea Binti wa watu, sio poa bana
Ulikuwa kwenye tamasha la miaka 30 ya bongo fleva? š¹Nilikua sehemu jana hadi mida mibovu nikachelewa kurudi na kulala, hapa nina usingizi. Nikimaliza kazi zangu inabidi nilale kidogo
Sitaki kuamini umeokotwa na maneno ya huyu tapeli..!! š¹Basiiiiiii umemaliza Country!! Maelezo yako yamenyooka kabisa.
Kwa habari ya kusaidia iko humu humu haujadanganya, na kuna muda anasaidia kupitia watu wengine, yaani mfano mimi nimpe mtu mwingine hela atoe kwa niaba yangu, Hii habari tunaojua tunajua.
Afu Country mbona umekuwa mtu mwema sana siku hizi unatupambania sana.
Tulia mahi!Sitaki kuamini umeokotwa na maneno ya huyu tapeli..!! š¹
Kichwa kilikua kizito, hapa nishaamka nipige hdta push mbili tatu nioge alafu nije kwenye jambo lako, mwaga moto kama dragonš„š„Pumzika list iwe ya wazito huenda nikaachana na uwinga..!! š¹
Usimfanyie hivyo bana, Binti kiziwi ni Binti mwerevu sana na mstaarabu hivyo haipaswi kumuongopeašSitaki kuamini umeokotwa na maneno ya huyu tapeli..!! š¹
Jana? Hapana asee. Nilikua na mambo tu flani somewhereUlikuwa kwenye tamasha la miaka 30 ya bongo fleva? š¹
Kina coca ndio inapaswa kuwaongopea ila Binti kiziwi hapana bana ngoja nimueleze tu ukweliš¹š¹š¹ Na wewe umekubali kudanganywa?
Alafu nilisahau, ana Forester XT kama Ile yako. Yake ni nyeupeTulia mahi!
Hili nalikumbuka toka kwenye ule uzi niliowekaga picha ššAlafu nilisahau, ana Forester XT kama Ile yako. Yake ni nyeupe
Pole! Nimekuvua nguo boss kubwaWe dogo tumiaga akili basi.
Mtu aliyenunua kiwanja mbweni wakati kinauzwa mil 40 au mil 50, kwa sasa kiwanja hiko hiko kitakua mil 200+. Na hiko ndio nilichokua nikisema
Hayo mambo ya historia ya nini na nani kayasema?
Mfano wa pili: Mtu aliyenunua kiwanja goba miaka Saba nyuma kwa mil 30 au mil 40 sasa hivi kiwanja hiko hiko thamani yake itakua mil 100+, hapo ndio tunasema mtu alinunua bei ikiwa haijachangamka kama sasa.
Mfano wa mwisho: IST kwa sasa inauzwa mil 22, lakini miaka mitano nyuma ilikua inauzwa mil 12. Hivyo mtu aliyenunua IST miaka mitano nyuma tunasema alinunua bei ikiwa haijachangamka kama sasa
Hapo hujaelewa nini?
Mabinti mnaopush hizi forester huwa mnakuwaga na confidence sana aseeššHili nalikumbuka toka kwenye ule uzi niliowekaga picha šš
šššš»šš»Mabinti mnaopush hizi forester huwa mnakuwaga na confidence sana aseešš
Umeona mida hii ndo naingia tulikua tunagombania mwendokasi..!!Tulia mahi!
Nishafika twende kazi..!! š„š„Kichwa kilikua kizito, hapa nishaamka nipige hdta push mbili tatu nioge alafu nije kwenye jambo lako, mwaga moto kama dragonš„š„
Wewe ndo unamuongpea..!!Usimfanyie hivyo bana, Binti kiziwi ni Binti mwerevu sana na mstaarabu hivyo haipaswi kumuongopeaš