Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Wacha weeh..!!Jana? Hapana asee. Nilikua na mambo tu flani somewhere
Wenzetu mliojipata mnakula maisha mpaka siku za kazi hamna weekend..!!
Wacha weeh..!!Jana? Hapana asee. Nilikua na mambo tu flani somewhere
Mi wote nawaambia ukweli tena coca ndo siwezi kumdanganya kabisaa..!!Kina coca ndio inapaswa kuwaongopea ila Binti kiziwi hapana bana ngoja nimueleze tu ukweli
Sasa hivi nilishatoka huko niko na mjerumani 😹Alafu nilisahau, ana Forester XT kama Ile yako. Yake ni nyeupe
Nipe location nije ningurumishe hii chuma 😂Sasa hivi nilishatoka huko niko na mjerumani 😹
😹😹😹Hili nalikumbuka toka kwenye ule uzi niliowekaga picha 😀😀
Umeielewa? 😹Nipe location nije ningurumishe hii chuma 😂
Unakula maisha tu 🔥🔥
Toa wino mtakosa hewa 😹Sadakalawee atakaeona aoneee 😀
Hewa tunapataa 😂Toa wino mtakosa hewa 😹
Wewe yupi hapo?
Hebu rusha tena usiweke wino nione hewa ilipitia wapi 😹Hewa tunapataa 😂
Wa kushoto hyo mwingine young bro 😀
Kesho nitatuma upya nyingine 😂Hebu rusha tena usiweke wino nione hewa ilipitia wapi 😹
Linalowezekana leo lisingoje kesho..!!Kesho nitatuma upya nyingine 😂
Ndio maana watu wakadhani celeb wa west 😂🥰🥰🥰Sasa hivi nilishatoka huko niko na mjerumani 😹
Celeb wapi? Basi tu JF wanapenda kuona wote tumepauka na vumbi..!! 😹😹Ndio maana watu wakadhani celeb wa west 😂🥰🥰🥰
Igweeee mate, you look dope! 🥰
Hiyo ndio mida Yako ya kufunga hesabu😆😆Umeona mida hii ndo naingia tulikua tunagombania mwendokasi..!!
Nisikize mimi achana na huyo tapeli..
Nilikua busy, simu kama zote hakuna utulivu kabisa. Hapa naona simu zimepungua so ngoja nishushe list ya nguvu🔥Nishafika twende kazi..!! 🔥🔥
Uzuri humu tajiri anajulikanaWacha weeh..!!
Wenzetu mliojipata mnakula maisha mpaka siku za kazi hamna weekend..!!