Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,788
- 34,782
Wewe unapenda magari, Tayana hapendi magari Binti wa watu hana makuu kabisa maisha yote anavumiliaUnaanza kuharibu, mi niweke hapo..!!
Tayana atapewa mwingine, Mbona wapo wengi humu..!! 😹😹😹
Wewe unapenda magari, Tayana hapendi magari Binti wa watu hana makuu kabisa maisha yote anavumiliaUnaanza kuharibu, mi niweke hapo..!!
Tayana atapewa mwingine, Mbona wapo wengi humu..!! 😹😹😹
Kwahiyo hunitaki? 😥Sikupingi mkuu wangu, mimi na Tayana mpaka kifo kitufurumushe 😁
Kuna kitu nimekumbuka nimecheka sana hapa, itakua dada kasikia huko🤣🤣🤣🤣🤣Vijora vimekuwa handbags 😹😹
Usijali hata mi nna ki BMW changu white nishazoea pia kutumia pia..!! 😹Ushazoea Benz bhana langu hutaliweza, nina ki BMW cha mchongo huwa nakitumia nikija Dar tu nikiondoka nakiacha 😂😂
Wewe ni mbingu mimi ni ardhi 😂 i bera woch my backkkk 🏃🏽Usijali hata mi nna ki BMW changu white nishazoea pia kutumia pia..!! 😹
Tajiri leo naona umeamua kujilipua. Itakua kukukumbusha ile Forester umechukia sana Tajiri, sikujua hii miaka miwili kumbe umefanya mabalaa makubwa hivi🙌🙌Usijali hata mi nna ki BMW changu white nishazoea pia kutumia pia..!! 😹
Nilikua najua tajiri bado ana Forester kumbe bana alishavuta mandinga mengine🙌Wewe ni mbingu mimi ni ardhi 😂 i bera woch my backkkk 🏃🏽
Ndo nani tena? 😹Siku zinakimbia asee, hivi Jay si atakua form 4?
Una vitu vyangu kabisa tajiri umeanza kunishawishi 😂😂 fungua pm dk moja tuMFALME WETU usijali bana beibeeyyy nishazoea kutumia BMW. Nitadrive na yako pia 😹
Mkuu umeniuzia msala 🏃🏽Nilikua najua tajiri bado ana Forester kumbe bana alishavuta mandinga mengine🙌
Hata mi sipendi 😹Wewe unapenda magari, Tayana hapendi magari Binti wa watu hana makuu kabisa maisha yote anavumilia
Cha kwanza kuangalia ni mkononi ile pete na saa, vyenyewe havijabadilika🙌MFALME WETU usijali bana beibeeyyy nishazoea kutumia BMW. Nitadrive na yako pia 😹
Hapo mdogo wangu usiguse utakamuliwa hadi damu, hapo sio pa kutuma vocha ya 5k🤣🤣Mkuu umeniuzia msala 🏃🏽
Magari unapenda bana tena sana🤣Hata mi sipendi 😹
Kitu gani 😹Kuna kitu nimekumbuka nimecheka sana hapa, itakua dada kasikia huko🤣🤣🤣🤣🤣
Cash sio shida zangu mkuu, mchawi ni izo Benz nikiombwa 10m ya kufanya tu service itabidi nirudi humu kuchangisha 😂😂Hapo mdogo wangu usiguse utakamuliwa hadi damu, hapo sio pa kutuma vocha ya 5k🤣🤣
Em rudi utadondoka, unaenda wapi? 😹Wewe ni mbingu mimi ni ardhi 😂 i bera woch my backkkk 🏃🏽
Siwezi kukuambia hapa, ila ntakukumbusha🤣🤣Kitu gani 😹
😹😹😹 Basi tu nimeamua kuendana na vibe..!!Tajiri leo naona umeamua kujilipua. Itakua kukukumbusha ile Forester umechukia sana Tajiri, sikujua hii miaka miwili kumbe umefanya mabalaa makubwa hivi🙌🙌
binti kiziwi tajiri yetu kumkumbusha Ile Forester itakua amechukia sana. Kumbe alishavuta mindinga mingine ya maana asee