Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,788
- 34,782
Kweli asee hizo services zake huwa zinanyonya sana miamalaCash sio shida zangu mkuu, mchawi ni izo Benz nikiombwa 10m ya kufanya tu service itabidi nirudi humu kuchangisha ππ
Nitaku pm mimi beibeeyy usijali πΉπΉUna vitu vyangu kabisa tajiri umeanza kunishawishi ππ fungua pm dk moja tu
Yaah siku moja moja sio mbaya. Tupia ghorofa hata upande tu nataka nimuonyeshe Binti kiziwiπΉπΉπΉ Basi tu nimeamua kuendana na vibe..!!
Halafu unajua sio mambo zangu kujipost basi kuna kashetani kamenivaa..!!
Sio mimi huyo πΉCha kwanza kuangalia ni mkononi ile pete na saa, vyenyewe havijabadilikaπ
Tajiriπ
Kantry we ndo mchawi wangu, Mfalme kashanielewa unaanza kuharibu..!! πΉπΉHapo mdogo wangu usiguse utakamuliwa hadi damu, hapo sio pa kutuma vocha ya 5kπ€£π€£
Baas kuna nini tena πNitaku pm mimi beibeeyy
πΉπΉπΉπΉπΉπΉπΉπΉπΉCash sio shida zangu mkuu, mchawi ni izo Benz nikiombwa 10m ya kufanya tu service itabidi nirudi humu kuchangisha ππ
Nikumbushe na wewe basi..!!Siwezi kukuambia hapa, ila ntakukumbushaπ€£π€£
Kabla sijaangalia vingine cha kwanza kabisa nilichoangilia ni mkononi Pete na saaπ€£π€£Sio mimi huyo πΉ
Kantry puliiiiizzz acha kumtisha my King πΉKweli asee hizo services zake huwa zinanyonya sana miamala
Sio hapa bana duhπ€£π€£Nikumbushe na wewe basi..!!
Huyu ni wa Tayana, alafu Tayana ni best yako sanaπ€£Kantry puliiiiizzz acha kumtisha my King πΉ
Nalitoa wapi mi ghorofa πΉYaah siku moja moja sio mbaya. Tupia ghorofa hata upande tu nataka nimuonyeshe Binti kiziwi
Mimi namsikiliza mkuu wangu wa kazi Countrywide simpingi kwa chochote. Sitaki nije kumuaibisha humu na bakuli kama Diva the Bosssss πππππΉπΉπΉπΉπΉπΉπΉπΉπΉ
Baby em acha uoga basi..!!
Kwani nimekuomba pesa mimi??
Please weka upande tu Kuna kitu nataka kumuonyesha Binti kiziwi, pleaseπNalitoa wapi mi ghorofa πΉ
Labda kibanda cha urithi nipost..!!
Nacho mbavu za mbwa nitachekwa πΉ
Weka codes basi πΉSio hapa bana duhπ€£π€£
Asiyekuwepo na lake halipo πΉHuyu ni wa Tayana, alafu Tayana ni best yako sanaπ€£
Tatizo hizo code ndio siwezagi asee, ngoja nitakuambia tuπWeka codes basi πΉ
Anakupotosha huyo πΉMimi namsikiliza mkuu wangu wa kazi Countrywide simpingi kwa chochote. Sitaki nije kumuaibisha humu na bakuli kama Diva the Bosssss ππππ
πΉπΉπΉPlease weka upande tu Kuna kitu nataka kumuonyesha Binti kiziwi, pleaseπ