πππanajiamini hatari lolNimemtisha na nini? πΉ
G ashawahi kusikia kwani?
Hata umjibu pumba kesho yupo mkavu kama sio yeye..!!
πΉπΉπΉ Anajiamini mno..!!πππanajiamini hatari lol
Muache akutafutie baby wake..!!πππ kaona kukaa dukani jau, kaamua kuachia vijana. Yeye anasukuma tank huko.
Haswaa muhimu mkono uende kinywani.Muache akutafutie baby wake..!!
Sasa aliwaka kisa nini? Alivyosikia una ghorofa na ndinga, akajua wee sio wa kispoti auπΉπΉπΉ Anajiamini mno..!!
Maghorofa kitu gani? Mimi nachukia uongo katika maisha yangu! Lamomy alivyoonesha picha yake, hawezi kuwa amenunua kiwanja mbweni miaka ya 90s.Sasa aliwaka kisa nini? Alivyosikia una ghorofa na ndinga, akajua wee sio wa kispoti au
Ila G πππ
Karibu sana! Mbona umerudi haraka!
Unafanya mchezo, Mi ntaokota wapi picha ya mtu wa kufanana na mimi, Niambie na mimi nataka kuokotaππΉπΉπΉ Mi nimeokoteza pic tu sio mimi huyo..!!
Una kitu ngoja nikushikilie vizuri ili uniweke kitaalamu kwa mate wangu. πYaah miaka mitatu sio mingi, Hilo niachie Mimi huyu hachomoi.
Hawa ndio wameshika kkoo kwenye biashara za handbags na hizo high heels zenu
nikikaa sehemu zaidi ya wiki miguu inaanza kuwasha ππ½βKaribu sana! Mbona umerudi haraka!
Kweli uduguu baraka zizidi kumiminika kwenu..!!Haswaa muhimu mkono uende kinywani.
πΉπΉπΉ G unamuelewa wewe mimi naona ananichanganya tu!Sasa aliwaka kisa nini? Alivyosikia una ghorofa na ndinga, akajua wee sio wa kispoti au
Ila G πππ
Id yako kongwe ipi? πΉMaghorofa kitu gani? Mimi nachukia uongo katika maisha yangu! Lamomy alivyoonesha picha yake, hawezi kuwa amenunua kiwanja mbweni miaka ya 90s.
Hiyo ndiyo ilikuwa hoja yangu. Mengine ya kawaida.
ππππΉπΉπΉ G unamuelewa wewe mimi naona ananichanganya tu!
πΉπΉπΉ Zipo nyingi unaweza kumuomba AI akupe..!!Unafanya mchezo, Mi ntaokota wapi picha ya mtu wa kufanana na mimi, Niambie na mimi nataka kuokotaπ
πππId yako kongwe ipi? πΉ
Mi nishakwambia sina lolote njaa tupu..!!
Zimefika mate πUna kitu ngoja nikushikilie vizuri ili uniweke kitaalamu kwa mate wangu. π
Good morning country, Ukimuona Lamomy popote msalimie.