Sio saiv tena labda nje ya mji
Jana nimeuziwa wali nyama elfu nne tena mgahawa local njaa iliniuma nikasema wacha nile nikaagiza wali nyama bila hata kuulizia bei nikijua hapa ikienda sana 2500😃
Nimemaliza nauliza nilipe sh ngap naambiwa Elfu nne nilichoka 😃
Nikauliza Vita vya iran hivi hivi au mmetumia na vya Kongo 😃
Mate 😂Kazi hii hapa sasa 🔥🔥🔥😍😍
Mate wa motoooo 😍
Tukupe taji la miss selfika sio kwa utramu huo wohii wohiii 😘
Kaka zangu mtajenga kweli? 😹
Nimeona aisee..!! 😍Nishaeka 🤣
selfika tajiri pengine ntapata usingizi 🔥Nipite niende wapi? 😹
😂😂😂😂😂😂😂Hapo sahihi😃
Niliwai kwenda Meatu ndani ndani huko kwenye harusi chai mnapewa sinia lina mlima wa maandazi na chai vikombe vikubwa alfu mnakua kama sita hivi ndo vitafunio vyenu hivyo mmalize😃😃
Tulikutana wote wa mjini hata nusu hatukumaliza
Thank you champ! 🥰nimeshindwa kujizuia kukusifia aisee chukua maua yako 🌹🌹
Pita nilale umebaki wewe 😊Nipite niende wapi? 😹
balaa mkuu, nilipita kwa Bibi akachinja jogoo akapakua kila kitu kaweka mezani af tuko wawili tu 😁 sina hamuHiyo mlifanyiwa attemp assassination 😃😃
Menu heavy hivyo mnabeba zege😃😃
Twende mpaka choma na kule Bali camp 😹😹Mate 😂
Panga road trip ya moro kwa wana selfika tukale nguruka.
Uwanja wangu wa Nyumban huu sema itabid niongeze mahudhurioUwe unapita mitaa hii, hata zile za simba na yanga zitaisha, Mwangalie Mahondaw huko juu kama hajafuta 🤣
🤣🤣🤣 nimelia sana !Nimeona aisee..!! 😍
Mbona miguu ya moet hiyo kama bango linavyosomeka nyuma ya pic 😹
Kwahiyo usingizi wako unategemea pic yangu 😹😹selfika tajiri pengine ntapata usingizi 🔥
hela saiv sina mshaniroga 😂Thank you champ! 🥰
selfika hata na hela tu tupate hasira basi 😅
Kuna mtu mnamtafuta amepotea? 😹Pita nilale umebaki wewe 😊
umejuajee?😂 tupia basi tajiri tuone mshepu huoKwahiyo usingizi wako unategemea pic yangu 😹😹
Bali panavuma, aliyeenda atuambie kwanza wanapanda panda je maana mi na starehe za kizungu mbali mbali, masuala kama ya kupanda na kuteremka kama kule pugu kazimzumbwi 🙆🏻♀️Twende mpaka choma na kule Bali camp 😹😹
Moro nilitoka majuzi kati kwa moto sasa hivii..!!
Acha kona kona 🤪Kuna mtu mnamtafuta amepotea? 😹
Wana selfika hao, watu wabayaaaa… Inshallah zitakuja tenahela saiv sina mshaniroga 😂
Watu wa motoonii😁😁Wana selfika hao, watu wabayaaaa… Inshallah zitakuja tena
Sawasawa mkuu.Uwanja wangu wa Nyumban huu sema itabid niongeze mahudhurio