MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,824
- 14,757
najua 😂, tupia iyo body tea bhana acha roho mbaya 🔥Hii nimeiona, tupia nyingine tajiriiiii 😍😍
najua 😂, tupia iyo body tea bhana acha roho mbaya 🔥Hii nimeiona, tupia nyingine tajiriiiii 😍😍
Jamatini pale si town kabisa tena 2011 ile stendi ilikua bado inapiga kazi😃🙌Mimi kuna kitu kimewahi nipata mitaa ya Jamatini, Dodoma, around 2011 hivi. Ilibidi niache niliokuwa nao wazuge kama bado wanakula, nikaenda ATM kutoa hela, nije nilipe bili za watu. 😊
Bili ilikuja mara mbili ya fedha niliyokuwa nayo.
Uko uduguu??Udugu pita nione rangi ya mtume, tena upite kwa kishindo cha wakoma kushangilia ushindi wa mnyama..!! 😹
We mzee kwa kuvizia 😂😂 unatokeaga mida flan tu
Ni kwel kabisakule ni hatari aisee, huku mjini tunaonja tu vyakula
Vilima kutafuta vigimbi tu wala sio unyama 😹😹😹Zamani humu kulikuwa na uzi watu wanahamasishana kwenda kupanda mlima kilimanjaro, kulikuwa na mdada anaitwa Heaven on earth alitupia kapicha kibao akatoa na story ya kupanda mlima, Watu walihamasika wengine walienda.
Ule uzi nilikuwa napita kama naaga maiti.😂
Ila Bali kuzuri nakuonaga tu huko mitandaoni
Hadi shape sina niko flat 😹😹Unaweza kuwa kimbaumbau lakini ukawa na shepu ya hatari.
😹😹😹 Unanimock?
Mi cheusi tii afu shapeless na kafupiiii
Hilo wowowo na rangi nimevitoa wapi?
Ana balaa huyoVyote unavyo, rangi na wowowo. 😊
Hadi shape sina niko flat 😹😹
Ana balaa huyo
Chochea motroooo🔥Yeye anahisi kama hatumjui. 😊
Kaaaah! huko siyo kwa kwenda kuishi 😂😂Owaa sio pow mkuu tukawapa wadau (wenyeji wa huko) walikua pemben na sinia lao wakapiga na yetu na bado wakasema hata ugari ukija tena wanabonda tukachoka😃😃
Vilima kutafuta vigimbi tu wala sio unyama 😹😹😹
🔥Bali kwa moto mate 🔥🔥
Hali ya hewa kama south vilee..!!
Nimechelewa banaaa, Kesho inshallah.
😹😹😹 Kweli, wewe kama unaweka weka tuone uumbaji wa AllahWeka picha tuone kama kweli ukiweka nalipaaaaa 🔥🔥🔥🔥
Ipo juu hapo nmekutagNimechelewa banaaa, Kesho inshallah.
😹😹😹 mbona body teanajua 😂, tupia iyo body tea bhana acha roho mbaya 🔥