Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 3,964
- 11,078
😀 hizo ni picha tu zisikudanganyeHahahaha..
😀 hizo ni picha tu zisikudanganyeHahahaha..
SIwezi kuvumilia utaniuwa weeee
Nitakuua na nini chino😁SIwezi kuvumilia utaniuwa weeee
Mbona nimenyooka kabisa hapo!Nitakuua na nini chino😁
Ila chinoMbona nimenyooka kabisa hapo!
Ananikwaza, ananiumiza roho na pata ghazab ila nakaza roho!Ila chino View attachment 3689798
Gen z hausahau tu 😄
Kweli wewe ni chica 🔥 🥰
Huyu gen z alikua anapita kama upepo 😁Tajiri kumbe Chica Gee alitupia picha hapa na hukunitonya! Acha roho mbaya tajiri. 😊
Kaka Chica Gee ni pisi sana 😊
Kaka Chica Gee ni pisi sana 😊
Chica Gee ni mfano halisi wa uumbaji wa mungu 😊.Usininambie mkuu! Mweupe? 😊
Chica Gee ni mfano halisi wa uumbaji wa mungu 😊.
Nani huyo chino akeee😅Ananikwaza, ananiumiza roho na pata ghazab ila nakaza roho!
Nimemuonyesha shem wako kaniuliza, “Unaongozana na nani ukiwa umevaa huo upuuzi?” 😹😹😹Wa motooo, nilimwambia Lamomy hata kipensi kitakuwa kizuri cha uzi.
Udugu pita nione rangi ya mtume, tena upite kwa kishindo cha wakoma kushangilia ushindi wa mnyama..!! 😹
Ni kweli shem anajua.Nimemuonyesha shem wako kaniuliza, “Unaongozana na nani ukiwa umevaa huo upuuzi?” 😹😹😹
Kasema nguo za beach hizo acha ushamba..!! Nimecheka sina hamu.!