binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
😎😜Ipi hiyo tena
😎😜Ipi hiyo tena
Iseme
utumbo wa Ng'ombe safi kabisa ila wa kuku hapana.😂 😂 😂 hauna shida mkuu kwenye supu unanoga vizuri tu kwa mjini Daslamu kwetu vitu vya kawaida sana
Watu mpaka utumbo wa Ng'ombe wanafanya mboga kabisa
astaghfirullahHauli? Mbona mi huwa nanunua wenyewe kabisa nakula, mtamuuuu 😌
Siajwahi kumiliki hii ID
Basi nimeifananisha Boss, kumradhi.Siajwahi kumiliki hii ID
Onja kidogo kidogo utazoea .astaghfirullah
Atakuja tu. Selfika basi.Basi nimeifananisha Boss, kumradhi.
Namtafuta huyo jamaa.
sina ulazima wa kufanya ivo tena saiv ndo kabisa haiwezekani.Onja kidogo kidogo utazoea .
Ngoja nitafute picha ambazo sijaweka mitandao mingine.Atakuja tu. Selfika basi.
Vyema Mkuu.sina ulazima wa kufanya ivo tena saiv ndo kabisa haiwezekani.
Wa motooo, nilimwambia Lamomy hata kipensi kitakuwa kizuri cha uzi.Black is Gold❤️goodmorninggggggggggg😍🔥View attachment 3688939
inabidi upite tena chica.
😂😂😂😂Wa motooo, nilimwambia Lamomy hata kipenzi kitakuwa kizuri cha uzi.
Sikupita nilikuita tuinabidi upite tena chica.
Mambo yananikaba mpaka nashidwa kupitia uzi wawarembo wa JF humu... 😄
binti kiziwi em nipe moja Yamoto 😄.
Umefika nibless sasa 😊Sikupita nilikuita tu
Nilikuita ili upite naked 😅kuna kitu nataka kukuulizaUmefika nibless sasa 😊
Usiku ndio mida mizuri ya kuzurura humu.inabidi upite tena chica.
Mambo yananikaba mpaka nashidwa kupitia uzi wawarembo wa JF humu... 😄
binti kiziwi em nipe moja Yamoto 😄.