Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Nasubiri baraka tuSimba tunakula vitu vyetu🤣
Nasubiri baraka tuSimba tunakula vitu vyetu🤣
Simba nguvu moja😅😅Nasubiri baraka tu
Kwa picha itapendeza spider😁Guvu moyaaa
Wanathiiimbaa
huu uzi wenu mimi hua nauogopa sana mkuu 😁 , naomba nimnukuu Kabudi profezzamwanangu sana hebu pita hapa kabla hujachukua ule mkopo, uachie baraka labda nitapata usingizi 😎
Pita hapo nione ubantu mimiKwa picha itapendeza spider😁
huu uzi wenu mimi hua nauogopa sana mkuu 😁 , naomba nimnukuu Kabudi profezza
View: https://www.youtube.com/shorts/kASPhMPEeJU ,
mkopo upo palepale , tarehe ndo gani ndo changamoto
Wewe ndio utanibusti namm nipite haya twende kazi😎Pita hapo nione ubantu mimi
hapo nimekusoma mkuu, maana hua nikipitaga humu naona watu wanajadili ila picha zenyewe hakuna 🤣Unaogopa nini sasa nawe! Unapita chap unafuta!!
Hiyo video unasisitiza sana looh!!🙄
Nipe mji nikupe tarehe😁
Huwa tunafuta utaacha humu kama unqjiamini sana!hapo nimekusoma mkuu, maana hua nikipitaga humu naona watu wanajadili ila picha zenyewe hakuna 🤣
mji kwa sasa ni mmoja tu "kizimkazi"
mafwele ndo kaimu kamanda kwasasa ngoja kwanza arudi muliro mkuu 😁Huwa tunafuta utaacha humu kama unqjiamini sana!
Aanh hapo sikupi tarehe🚮
Wewe mpk taarifa zake unazo wakati wenzio hatumuoni!mafwele ndo kaimu kamanda kwasasa ngoja kwanza arudi muliro mkuu 😁
ngoja kwanza nipime upepoWewe mpk taarifa zake unazo wakati wenzio hatumuoni!
Acha uoga!!
Was wasi wako tu hapa tunapita mpk sekunde 3 na watesi wako hawakubahatishi😆ngoja kwanza nipime upepo
Pita basiWas wasi wako tu hapa tunapita mpk sekunde 3 na watesi wako hawakubahatishi😆
Guu la beer