Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 4,666
- 11,789
Yani wwUmepoa adi naogopaKwanini mallerina😁
Yani wwUmepoa adi naogopaKwanini mallerina😁
Kanishushua bana sina hamu 😹Ni kweli shem anajua.
Ila mi nataka kununua nivae kawaida. Naona hadi magauni ya uzi siku uzi yanashonwa.
😂😂😂 Pole.Kanishushua bana sina hamu 😹
Kuna batiki za kichina nimeziona nimecheka sana, rangi za batiki lakini material polyester 😀Kuna ya dukani nimeona yametoka, wachina washajiongeza..!!
Kabisa ideally ni mavazi beach, cost, jamaica.Sema hizo nzuri kwendea beach na kwenye Yatch party kama kivuruge wangu alivyoshauri..!!
Hamna jamani mbona nipo, sema tu majukumu yanaongezeka kipenzi😅Yani wwUmepoa adi naogopa
Majukumu kwani umeenda kwa kina ndoa😹Hamna jamani mbona nipo, sema tu majukumu yanaongezeka kipenzi😅
Chat kwa picha crochet artistMajukumu kwani umeenda kwa kina ndoa😹
Ndio nawaza hapa niende au vipi, ni kama nasikilizia mchongo hivi😁Majukumu kwani umeenda kwa kina ndoa😹
Hii sasa ni kando ya majani meupe hunilaza 😃😃
Kigoma ni shwariii kabisa hakuna shida vipi huko daslamMissing you tajiri, KG mnasemaje huko?
Umeanza uhaya braza😃Nikirudi nyumbani naingia bandani kwangu , nakamata Kuku napika supu , najipongeza kama hivi na Kuku wa kienyeji , nikishiba nacheki movies naingia Jf nalala
View attachment 3688785
View attachment 3688786
Mkuu wakishua moja sio??mkuu unakula utumbo wa kuku 🤮
Tunamshukuru Mungu tunakomaa na jiji!Kigoma ni shwariii kabisa hakuna shida vipi huko daslam
Kama kanda ya ziwa sawaaa🤝utumbo wa Ng'ombe safi kabisa ila wa kuku hapana.
kuna demu nilipataga anaishi Tabata kama miaka minne nyuma nikaenda piga kambi kwake kama siku 3 ivi siku moja jioni kwenye kutembea tembea tukajikuta kwenye iko kimeza wanauza bidhaa za kuku mimi nikachukua vipaja kadhaa nikaanza kujisevia kidogo nayeye akaanza kunilisha mimi naachama tu mdomo kuja kushtuka kumbe ananilisha vifiligisi vimefungwa fungwa na utumbo wa kuku aisee nilihisi kutapika 🤮🤮
mimi nmekulia kanda ya ziwa aisee misosi kibao kumkuta mtu anakula utumbo wa kuku ni kitu hakiwezekani, wengine mpaka vichwa wanatupa
😹nenda mimi nataka kuitwa AuntyNdio nawaza hapa niende au vipi, ni kama nasikilizia mchongo hivi😁
😍humu tumechat kwa picha ww tu ndo umepotea ..Chat kwa picha crochet artist
Aah weeh!! Mimi nishatoka huko nasubiri wewe kwanza🤣😹nenda mimi nataka kuitwa Aunty