ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Ndio holiday mamaa😊Kalale mwaego, kesho una off kwani?
Ndio holiday mamaa😊Kalale mwaego, kesho una off kwani?
selfika kwanza tajiri salam achia watoto 😂Mambo niyapendayo haya 😍😍😍
Tajiriiii nakuja kukuamkia pm unifikirie hata kibunda kimoja 😹😹
Lamomy ni yale majimama boss afu kgs kibaotatizo mapozi aisee huyo mlimbwende ana mapoz dunia nzima 😂
body tea af pesa ziko bank 🔥Lamomy ni yale majimama boss afu kgs kibao
Pambana 😂 Uzee mwisho Kimanzichana.Acha hiyo BK, kuna picha moja hivi kakaa, kapiga kimini. Sema tuu basi siku hizi nishazeeka. Nimekwisha. 😊
Pita bas tukuoneNdio holiday mamaa😊
Nimeshapita mpaka watu wamekinai wewe unakuaga wapi kwani😅💔Pita bas tukuone
Au unasema hii? 😹😹Acha hiyo BK, kuna picha moja hivi kakaa, kapiga kimini. Sema tuu basi siku hizi nishazeeka. Nimekwisha. 😊
Nilitupia bana, subiri kesho 😩binti kiziwi ndo umenidanganya
EehNilitupia bana, subiri kesho 😩
Hizi fujo sasaAu unasema hii? 😹😹
Hapo nimejibinua tu!
MFALME WETU si nilikuambiaAu unasema hii? 😹😹
Hapo nimejibinua tu!
Heeeee hi nayo sijawahi ona mweeeh Wewe binti wewe! Kazuriiiiiiiiii uwi 😍😍Au unasema hii? 😹😹
Hapo nimejibinua tu!
kama Mama yako alikwambia alikuzaa aisee alikudanganya tajiri we ulishushwa 🔥🔥 body tea ya miaka ya mbele 🌹🌹Au unasema hii? 😹😹
Hapo nimejibinua tu!
maninah!Au unasema hii? 😹😹
Hapo nimejibinua tu!
Hata mimi nimewahi mng'aza ni kama Nicole Scherzinger 😄
mkuu hapo nauza viwanja vyote vya familia vikiisha nahamia vya ndugu nienjoy na heaven baby 😂🔥MFALME WETU si nilikuambia