ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Ndio holiday mamaaπKalale mwaego, kesho una off kwani?
selfika kwanza tajiri salam achia watoto πMambo niyapendayo haya πππ
Tajiriiii nakuja kukuamkia pm unifikirie hata kibunda kimoja πΉπΉ
Lamomy ni yale majimama boss afu kgs kibaotatizo mapozi aisee huyo mlimbwende ana mapoz dunia nzima π
body tea af pesa ziko bank π₯Lamomy ni yale majimama boss afu kgs kibao
Pambana π Uzee mwisho Kimanzichana.Acha hiyo BK, kuna picha moja hivi kakaa, kapiga kimini. Sema tuu basi siku hizi nishazeeka. Nimekwisha. π
Pita bas tukuoneNdio holiday mamaaπ
Nimeshapita mpaka watu wamekinai wewe unakuaga wapi kwaniπ πPita bas tukuone
Au unasema hii? πΉπΉAcha hiyo BK, kuna picha moja hivi kakaa, kapiga kimini. Sema tuu basi siku hizi nishazeeka. Nimekwisha. π
Nilitupia bana, subiri kesho π©binti kiziwi ndo umenidanganya
EehNilitupia bana, subiri kesho π©
Hizi fujo sasaAu unasema hii? πΉπΉ
Hapo nimejibinua tu!
MFALME WETU si nilikuambiaAu unasema hii? πΉπΉ
Hapo nimejibinua tu!
Heeeee hi nayo sijawahi ona mweeeh Wewe binti wewe! Kazuriiiiiiiiii uwi ππAu unasema hii? πΉπΉ
Hapo nimejibinua tu!
kama Mama yako alikwambia alikuzaa aisee alikudanganya tajiri we ulishushwa π₯π₯ body tea ya miaka ya mbele πΉπΉAu unasema hii? πΉπΉ
Hapo nimejibinua tu!
maninah!Au unasema hii? πΉπΉ
Hapo nimejibinua tu!
Hata mimi nimewahi mng'aza ni kama Nicole Scherzinger π
mkuu hapo nauza viwanja vyote vya familia vikiisha nahamia vya ndugu nienjoy na heaven baby ππ₯MFALME WETU si nilikuambia