Selfika na JF: Snap it. Show it

Binafsi najiona sina makali niliyokuwa nayo kwenye late 20's and mid 30's. ๐Ÿ˜Š
Labda kama ulianza mambo mapema, ama sivyo hapo ndio penyewe hapo!!

Mi nikajua ankali wa miaka 45 watu wa JF kwa kujifanya wazeeee! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿป
 
Labda kama ulianza mambo mapema, ama sivyo hapo ndio penyewe hapo!!

Mi nikajua ankali wa miaka 45 watu wa JF kwa kujifanya wazeeee! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿป

Watu kibao humu JF, wanajua mimi bonge la dingi, labda nina 45 au 50. ๐Ÿ˜Š
Mi yanki tuu, ukiniona huwezi amini.
Kuna mtu nimewahi kutana nae ni mshikaji, alishangaa sana. ๐Ÿ˜Š
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ