ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Damu ya Yesu ilinilinda kweliG night binti mwenye mshepu wake..!! 😍😍
Damu ya Yesu ikulinde..!!
Nimeamka salama salimi😊
Damu ya Yesu ilinilinda kweliG night binti mwenye mshepu wake..!! 😍😍
Damu ya Yesu ikulinde..!!
Hata usijichosheNionyeshe basi
Ngoja nibaki tu na taswira ya comment za walioonaHata usijichoshe
Ishi humo hawapo mbali sana na uhalisiaNgoja nibaki tu na taswira ya comment za walioona
😂😂😂 huyo namjua, kwa kweli hana vitu vyangu, nisiwe muongo.
Baadae!! Niko hapa kwa ajiri yako.N
Nipo Weka vitruuuu mahi udruguuu 😍
Nilivyolala ndo mkapita 😹kimya kimya
😅😅😅 picha huwa ni kwaajili ya wenyeji wa huu uzi .Unikumbuke na mimi
Kwa hiyo nilijiondoa kundini😅😅😅 picha huwa ni kwaajili ya wenyeji wa huu uzi .
Ukiondoka mwezi ukirudi report kwa mwenyekiti 😊Kwa hiyo nilijiondoa kundini
Niambie vitu vyako ili alipita kijana hapa nikuite.😂😂😂 huyo namjua, kwa kweli hana vitu vyangu, nisiwe muongo.
Naweka kambi rasmi sasaUkiondoka mwezi ukirudi report kwa mwenyekiti 😊
mambo usiku wa wanga, huu uzi kumbuka umeanzishwa na ankali Mshana mchawi mstaafu.Naweka kambi rasmi sasa
Nitakapofeli ni hapo tu wifi yako ata mind kuona nangojea watu wapite nakedmambo usiku wa wanga, hi uzi kumbuka umeanzishwa na ankali Mshana mchawi mstaafu.
Never, mi na wewe hatujawahi kushindwana….Unitaki tu Z anto unanicrop
The Ghost Writer huyo ndio vitu vyangu.Niambie vitu vyako ili alipita kijana hapa nikuite.
Siitupi asili ndugu. 😄mkuu kwani huko ughaibuni hakuna pisi, muombe hata jirani yako Kiranga akupe namba.....................
Dah sijawahi kumuona ngoja aje.The Ghost Writer huyo ndio vitu vyangu.
Muambie aweke picha umuone hapo.
Ni 🔥🔥🔥