binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Unaonaaa! Huu uzi wa watu single ninyi double mtasababisha maafa.Nitakapofeli ni hapo tu wifi yako ata mind kuona nangojea watu wapite naked
Utamuona ni vitu vyangu haswaa, shida ya Spider, ni mfupi.
Nimechekaπ,,sijui nipoje nikikutana na mtu mfupi lazima nijipimishe naeππππ,,,Leo nimepishana na mkaka kafupi kananifikia kiunoni,,,huo mwendo SasaπΆπΆUtamuona ni vitu vyangu haswaa, shida ya Spider, ni mfupi.
Vingine vyote yuko fresh, ila huo ufupi wake, πππ
mimi sio mfupi labda kama spider mwingineUtamuona ni vitu vyangu haswaa, shida ya Spider, ni mfupi.
Vingine vyote yuko fresh, ila huo ufupi wake, πππ
Wewe ni mfupi kwangu, ndio maana sijasema generally, noope! Binafsi wee kwangu ni mfupi.mimi sio mfupi labda kama spider mwingine
ππππ kuna namna mtu mfupi kwangu namtazama na namchukulia.Nimechekaπ,,sijui nipoje nikikutana na mtu mfupi lazima nijipimishe naeππππ,,,Leo nimepishana na mkaka kafupi kananifikia kiunoni,,,huo mwendo SasaπΆπΆ
Kama ni 6ft sawaWewe ni mfupi kwangu, ndio maana sijasema generally, noope! Binafsi wee kwangu ni mfupi.
Seriously!
πππ mie nawee, mrefu mie, ndio maana nikasema wee mfupi kwangu.Kama ni 6ft sawa
Sasa hapo kibongobongo mbona ni noma sanaπππ mie nawee, mrefu mie, ndio maana nikasema wee mfupi kwangu.
πππ aaah wapiii!! Sasa huko vipo vi andunje, woiiiihSasa hapo kibongobongo mbona ni noma sana
Uku nlipo natamba mimi most watu wapo 5'4
6ft wabongo wachache labda wasukuma na wakurya na waarushaπππ aaah wapiii!! Sasa huko vipo vi andunje, woiiiih
Mi mfupi so watu wengi nawaona warefu kwangu ππππππ mie nawee, mrefu mie, ndio maana nikasema wee mfupi kwangu.
Wewe umefika 6Ft? Kwa ile picha uliyowekaga hapa umevaa kanzu, umesimama pembeni ya sofa? Sio mrefu, ni mtu wa wastani, huo urefu umepata mda gani? Wee spider? Tatatibu mambo yako.6ft wabongo wachache labda wasukuma na wakurya na waarusha
Kijana πππππ
Mmh mbona ni ya zaman sana ileWewe umefika 6Ft? Kwa ile picha uliyowekaga hapa umevaa kanzu, umesimama pembeni ya sofa? Sio mrefu, ni mtu wa wastani, huo urefu umepata mda gani? Wee spider? Tatatibu mambo yako.
ππππ
Anancharazia Z antoMi mfupi so watu wengi nawaona warefu kwangu πππ
Ufupi upi hapo mbona anavuruga ngalawaKijana πππππ
Nasemea mimi ni mfupi so watu wengi kwangu ni warefu .Ufupi upi hapo mbona anavuruga ngalawa
We sio mfupi we vitu vyangu kabisaaNasemea mimi ni mfupi so watu wengi kwangu ni warefu .