Mimi sijaona bwana! Nimetoka kucheki boli, ndo nimefika home hivi. Hebu tuone basi. 😊
Wewe acha zako, wee pambania kombe, usiniangushe ujue. Hakuna kuchoka.Duh kapanda kitengo sasa hivi namuonaje yupo busy vile ?
Kwanini?Hawa wanakula vitu vizuri kimya kimya
Mida ya mchana mapema tuUvae unioneshe hapa mlongo. 😂😂😂
Taste acha uoga na wewe, ukute na yeye anasubiri uguse, aachie muende honeymoon.
😂😂😂😂
Yani ukinirudilia ile ya suti sina noma 🔥😁Muheshimiwa sana naomba na wewe upite tufaidike
Ipi tenaYani ukinirudilia ile ya suti sina noma 🔥😁
Hawaniitiiiii aiseeeKwanini?
Weka nichague ni ipi😹🔥😘💯Ipi tena
Nimekuita mara mbili haupo? Upendeleo gani tena? 🙄Ndio ukweli. Bwana Steve Rogers anapendelewa sana.
Doooh 😅 level yake ni hatari anapambana na kina pumpkins 🎃 head 🤣🤣🤣Wewe acha zako, wee pambania kombe, usiniangushe ujue. Hakuna kuchoka.
Utaweka ngapiWeka nichague ni ipi😹🔥😘💯
Kesho nayo sikuMimi sijaona bwana! Nimetoka kucheki boli, ndo nimefika home hivi. Hebu tuone basi. 😊
Nimechelewa kama dakika kadhaaaMbona aliweka sio mda hapa.
Style gani? Si unaziachia tu zijimwage km rasta au?Naona baadhi ya Style nashindwa kubana
Niliwaambia nawatafutia humu shemeji😹😹nibless tuUtaweka ngapi
Yaan nataka niwe serious sasa, niwe na dreads na mie.