Nimepitwa hapa hapa? Mbon sioni picha jamanii?? Huu uhaini wallah
We mwenyewe umeweka bonge la Bangoo usoni shida nini vijana hamjiamini ?Chica punguza basi hiyo picha ya juu. Unaona mimi nimeachia mzuzu, umeweka picha kubwa bwana. ๐
๐น๐น๐นpunguza michambo aiseee๐คฃ๐๐๐, kuna mkaka niliwahi msifia agu alikua na mchumba ake, alijisikia aibu ujue, nilitaka adakie na huyo mchumba ake ili nihamie kumchamba yeye.
UnaswampaNimepitwa hapa hapa? Mbon sioni picha jamanii?? Huu uhaini wallah
Jishindie mmoja๐ฅณ๐๐๐ nini sasa nawewe?? Aaah
Nimerudia ile ileNimepitwa hapa hapa? Mbon sioni picha jamanii?? Huu uhaini wallah
Afu nibless mommyUnaswampa
Aah wapi kifua 10/10๐ ๐ ๐ hiyo ni AI shauri yako
Weee siyo kweli ๐ ๐ ๐ gudubaiii mimi ni kimbaumbauAah wapi kifua 10/10
Selfika full body ๐ค
Yaan angedakia tu, wallah ningeruka nae mzima mzima.๐น๐น๐นpunguza michambo aiseee๐คฃ
Hujawahi kuniona lol Chica Gee msimulie๐คAfu nibless mommy
Naomba kuona mwanya๐ธโค๏ธ๐ฅ
NdiyoHivi huku wazee tunaruhusiwa?
We mwenyewe umeweka bonge la Bangoo usoni shida nini vijana hamjiamini ?
Wewe na Chica same same
Mie humu tayari ninae, ๐๐๐Jishindie mmoja๐ฅณ
Hapo ndiyo nimepita naked sasa huwa naacha zinaonekana nguo tu ๐น
Kumbe familia ๐ฅ๐ฅ Madrid for lifeSio hatujiamini. Nina sababu zangu kuficha sura yangu humu. Hata hivyo ni leo tuu sababu, nimefurahi Real Madrid kumkanda mtu goli nne, kwa comeback ya kihistoria. ๐
Oooh kumbee, basi sawa.Nimerudia ile ile