ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Ila hua unataka wenzio wajianike 😅Sio hatujiamini. Nina sababu zangu kuficha sura yangu humu. Hata hivyo ni leo tuu sababu, nimefurahi Real Madrid kumkanda mtu goli nne, kwa comeback ya kihistoria. 😊
Anyway Chivundu upo smart huna baya 🔥