ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Juhudi ni kubwa
Mahi em selfikq na wewe, nikuoneee.
ππππJuhudi ni kubwa
Mie nipo tayari kumpokea wifi π
Fire π₯ π₯π₯π₯ mwenye kaka hakosi wifi au uongo kaka Manyanzaππππ
Pita sasa mida ndo hiiPita basi leo nataka nipite mjue π
Usiniambie coca kwamba ni sold out π π πββοΈπππ na humu wote wamewahiwa,
Imetosha sasa, hakuna haja kutumia Lugha za hivi humu.Acha maneno mengi, safisha kitobo hiko, niletee mie nikikamie, kelele za nini? Si unautaka? Wee niletee nikupelekee π₯
Huyo huyo πΉππππ Jack huyu huyu Lekcharaa wangu??
Anza sasa πPita sasa mida ndo hii
Lamomy akipita ameniwakilisha vyemaπΉ
Ana weusi mzuri sana uduguu πΉπΉπππππ khaaaah
Tupia mtraco ule tuuone πMake kwanza nichekeeπ
Hiyo liniiiii hiyooooooo
Hiyo leo hiyoooooo nimekua wa kishua
Basi kila mtu atulie atakua wa kishua
Hahaha zishazeeka lakini π€£π€£π€£Eeeh Mlongooo!! Mambo km haya sasa, sio zile sumri zako za jana, walaaa.
ππππ
Mi bado udugu usinikoseshe mume puliizzzz πΉπππ na humu wote wamewahiwa,
Hakunaaaaaa ushindweeeeeeTupia mtraco ule tuuone π
Watu na mabebe zenu, na mie mniitie mmoja aje hapa aselfike nipate wa kusaidiana kuongeza mtaji wa vijora..!! πΉThe ghost writer hey Beibee, njoo hapa unioneshe kile amekupa baba.
ππππ
Niongezee bidii sasa kutembea na dawa zangu za Presha kama ninavyozurula na hii NIDA yangu πHuruma sio malezi unataka unifie nikaozee magerezaππ
Anza wewe, afu ujue mi kubembeleza sana siwezi..!!Anza sasa π