Selfika na JF: Snap it. Show it

Hakunaaaaaa ushindweeeeee
Kuna mtu kasema nimekuona selfika unajianika huko na huku unashinda siasani watakufilimbaaa πŸ˜…πŸ˜…πŸ’”πŸ˜­
Hawawezi huna impact hiyo..!!
Huku anayetafutwa brittanica anayetoa Siri zao na wale majamaa wanaoiponda veggies kwa maneno makali..!!

Wewe tupia tu JIACHIE
 
Hawawezi huna impact hiyo..!!
Huku anayetafutwa brittanica anayetoa Siri zao na wale majamaa wanaoiponda veggies kwa maneno makali..!!

Wewe tupia tu JIACHIE
Au sio mahi πŸ˜…
Serikali ya samia inamkamata hata kada wa chini kabisa wa chadema na kumpa kesi ya uhaini

Anyway wasiwasi ndio akili mama
 
Ni ngumu mtu kukufikia kupitia platform kama hii ya JF
Wanaweza hasa ukiwa mtu wa kutoa mawasiliano yako kwa watu humu jamvini

Labda uwe na marafiki ambao una uhakika hata wakilewa, bado wanabaki na Siri zako kichwani

Ndiyo maana hata ikitokea unatamani kumpa mtu msaada wa kifedha humu, vyema kutumia Wakala
 
Naomba nitumie 3000 ya kula mkuu πŸ₯Ή
 
Ni sahihi nadhani hili jukwaa wenye nia ovu ni wengi sana..

Kuna ID yangu humu ilipotea miaka ya juma, ila kuna nakala niliwai toa comment ni issue za siasa hizi hizi.

Kuna jamaa ID yake mpaka leo naikumbuka ila ni dormant naona.

Alinijia PM na kutoa vitisho Vikali sana sema sikujali sana mana access ya kunipata ilikua haipo.

Tangu siku hyo nilifunga PM mpaka leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…