Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna MTU mmoja aliniambia hizi kampeni sijui kataa ndoa ,sijui wamama kuwa single ( kujitegemea ) ni kampeni kubwa , inayohusu Uchumi, nilimuuliza kwann ,akasema

Dunia ya kibepari unaangalia uchumi, Sasa watu wakiwa ktk NDOA wanakua wanakosa mapato sababu familia Moja, ila

Kama watakua wametengana maana ake, wanakua single hapa kila mmoja ataishi kivyake sio ki familia Tena ,so wakiwa separate means watajitegemea binafsi

Single mother atakua chanzo pia Cha Kodi maana atajilpia baadhi ya mahitaji, atalipa Kodi na huduma zingine za ki uchumi yeye kama yeye tofauti na mwanzo angekua ktk NDOA
na Kwa baba hivyo hivyo
Hapa ni selfika mkuu makala ndefu sana hii šŸ˜…
 
😹😹 kuna zile shanga niliona za maandishi zinachekesha balaa..!!

Nilianza kusoma moja baada ya nyingine mpaka muuzaji akaniambia ā€œDada wewe sio mtejaā€ 😹😹

Waungwana wana mineno mikali..!
Naomba nione uliyochagua 😹😹baada ya huo mpasho ulichukua kadhaaaa
 
Back
Top Bottom