Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapa ni selfika mkuu makala ndefu sana hii 😅
 
😹😹 kuna zile shanga niliona za maandishi zinachekesha balaa..!!

Nilianza kusoma moja baada ya nyingine mpaka muuzaji akaniambia “Dada wewe sio mteja” 😹😹

Waungwana wana mineno mikali..!
Naomba nione uliyochagua 😹😹baada ya huo mpasho ulichukua kadhaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…