We siku hizi umekua mjanja mjanja sana dawiri
Naona kawa mbabaishaji kama wakongweSijui nani amemfundisha ujanja, itakuwa ni Steve Rogers.
Naona kawa mbabaishaji kama wakongwe
Comments buku akipita anapost mkono
Mimi nawatafutia hapa shemeji yenu๐นWe siku hizi umekua mjanja mjanja sana dawiri
Bora muone mkono kuliko kukosa๐นNaona kawa mbabaishaji kama wakongwe
Comments buku akipita anapost mkono
Hapo tbt nimefurahi ngoja nitafute tbt ya utotoni nipite๐ฅณ๐ฅLeo alhamiss tupieni haha TBT, Sisi wazee tutupie tulivyokuwa vijana na vijana watupie walivyokuwa watoto. (Chicca, Coca, Win na Mallerine) Gen Z wa selfika
Mambo si ndo hayoooo ๐ฅHapo tbt nimefurahi ngoja nitafute tbt ya utotoni nipite๐ฅณ๐ฅ
Si kama mimi tu nkikuomba upite mamaaLamomy Mate can you imagine nimesoma comments kumbe jana Chivundu amepita, Kwa mujibu wa wana selfika ni handsome Man ๐
Juzi tumemperemba aweke akatuchomolea, nimegundua humu ndani watu wana watu wao ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐๐๐
Mate, chivundu ana pisi yake alitaka imuone ๐น๐นLamomy Mate can you imagine nimesoma comments kumbe jana Chivundu amepita, Kwa mujibu wa wana selfika ni handsome Man ๐
Juzi tumemperemba aweke akatuchomolea, nimegundua humu ndani watu wana watu wao ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐๐๐
Utapataje bwana na hutupii picha wakuchague๐นHapa selfika kila mdada kasoro (mimi ๐น) ana mabwana watatu, mshika mapembe, mchepuko na crush..!!
Ukibisha ubishe kwa fact ๐น๐น๐น
Mfano; udugu wangu coca
Mjep
The Ghost writer
โฆโฆโฆโฆโฆ. Huyu namjua mimi tu!!
๐น๐น๐น Hawanitaki nina mdomo etiii..!!Utapataje bwana na hutupii picha wakuchague๐น
Atakupa boss yule hana njaa njaa ๐นAnipe na mimi basi mtaji๐น
Nimemwambia anitengenezee iliyoandikwa Yanga bingwa mpaka leo hajaniletea, sijui mshabiki wa Simba yule..!! ๐นNaomba nione uliyochagua ๐น๐นbaada ya huo mpasho ulichukua kadhaaaa
Leo alhamiss tupieni haha TBT, Sisi wazee tutupie tulivyokuwa vijana na vijana watupie walivyokuwa watoto. (Chicca, Coca, Win na Mallerine) Gen Z wa selfika