We ukipendwa vizuri huo mdomo utaacha tu hujapata wa kukupenda kisawasawa๐คฃ๐๐ฅณ๐ฅ๐น๐น๐น Hawanitaki nina mdomo etiii..!!
๐คฃ๐คฃ๐คฃstaki na mimiAtakupa boss yule hana njaa njaa ๐น
Yanga bingwa kwa shanga ya kiunoni wapi na wapi๐น๐Nimemwambia anitengenezee iliyoandikwa Yanga bingwa mpaka leo hajaniletea, sijui mshabiki wa Simba yule..!! ๐น
Sasa nivae ya โnipe yoteโ namvalia nani? ๐นYanga bingwa kwa shanga ya kiunoni wapi na wapi๐น๐
Kwanini humtaki na umesema uko single? ๐น๐คฃ๐คฃ๐คฃstaki na mimi
๐น๐น๐น Afu mi nikiona mwanaume anataka kuniletea mambo ya mapenzi ndo namletea mdomo mpaka aahirishe kunichorea makopa moyoni mwake..!!We ukipendwa vizuri huo mdomo utaacha tu hujapata wa kukupenda kisawasawa๐คฃ๐๐ฅณ๐ฅ
AstaghafirullahHapa selfika kila mdada kasoro (mimi ๐น) ana mabwana watatu, mshika mapembe, mchepuko na crush..!!
Ukibisha ubishe kwa fact ๐น๐น๐น
Mfano; udugu wangu coca
Mjep
The Ghost writer
โฆโฆโฆโฆโฆ. Huyu namjua mimi tu!!
Nikuwekee mkeka wako? ๐นAstaghafirullah
Utazeeka ukiwa single,๐น๐นhumuoni Steve Rodgers..spidernyoka...chivundu?๐น๐น๐น Afu mi nikiona mwanaume anataka kuniletea mambo ya mapenzi ndo namletea mdomo mpaka aahirishe kunichorea makopa moyoni mwake..!!
Staki mtu nataka niwe freee jukwani๐ฅณnijiachieKwanini humtaki na umesema uko single? ๐น
Au una mtu unampenda hapa?
Hebu weka mahi nijione kwa uzuri๐คฃNikuwekee mkeka wako? ๐น
Hio tamu hioSasa nivae ya โnipe yoteโ namvalia nani? ๐น
Jamani mbona huwa napita ukiniambia nipite? Jana tu na juzi.Si kama mimi tu nkikuomba upite mamaa
Kweli unaonekana ulikuwa mdogooo ๐ฅView attachment 3691372
Tbt hata smartphones hakuna natumia camera ya laptop ๐ ๐ ๐
binti kiziwi
Pita mamaa nakaa jukwaani kinyonge sanaJamani moona huwa napita ukiniambia nipite? Jana tu na kizi
Kweli aisee nimemshtukia ๐๐Mate, chivundu ana pisi yake alitaka imuone ๐น๐น
Kama anabisha apite sasa hivi hapa na sisi tumuone..!! ๐น
TBT leoPita mamaa nakaa jukwaani kinyonge sana
Yoyote tuTBT leo