Selfika na JF: Snap it. Show it

Shusha mamaa
Nianze na yupi?
Crush wako ni yule jamaa mmoja hivi jina limenitoka em nikumbushe..!! ๐Ÿ˜น

Mshika mapembe CH

Mchepuko chivundu ๐Ÿ˜น๐Ÿƒโ€โ™€๏ธโ€โžก๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธโ€โžก๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธโ€โžก๏ธ
 
binti kiziwi shida hakai atulie
Tatizo binti kiziwi hajui atulie na yupi? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Akili yake ipo kwa The monk mwenzio..!!! ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธโ€โžก๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธโ€โžก๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธโ€โžก๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธโ€โžก๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธโ€โžก๏ธ
 
Namuona tu binti kiziwi
 
Sisi walevi wanatuona miyeyusho tu๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… viva bia๐Ÿ˜…
 
Nianze na yupi?
Crush wako ni yule jamaa mmoja hivi jina limenitoka em nikumbushe..!! ๐Ÿ˜น
Marcostilone โ™ฅ๏ธโœ”๏ธ
Mshika mapembe CH
Ndio nani huyu tena
Mchepuko chivundu ๐Ÿ˜น๐Ÿƒโ€โ™€๏ธโ€โžก๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธโ€โžก๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธโ€โžก๏ธ
Astaghafirullah ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ๐Ÿผ
Unamfukuzia ndege huyu mkongomani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ