spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,915
- 23,531
Hata hiyo tamaa sina maskiniUkikata tamaa humpati
Hata hiyo tamaa sina maskiniUkikata tamaa humpati
Ndio natafuta picha ya kupita nikiw mwenyewe sioni😅Nasubiri upite hapa..!
Huyo huyo 😹😹Marcostilone ♥️✔️
😹😹 Acha zako wewee humjui huyo?Ndio nani huyu tena
Mkongomani hasikii haambiwi kwako, yeye ukimwambia lolote anafanya..!! 😹😹Astaghafirullah 🤣🤣🙌🏼
Unamfukuzia ndege huyu mkongomani
Endelea kupombeka, kama vipi ideti pombe 😹😹😹Siwezi acha pombe kamwe 😅 kama hawanitaki na ulevi wangu Wakefie mbali tu😅😅
Hapo safi, komaa mpaka kieleweke..!!Hata hiyo tamaa sina maskini
Muda ulireply ungeweka na picha, unachelewa bana..!!Ndio natafuta picha ya kupita nikiw mwenyewe sioni😅
Soma vizuriHapo safi, komaa mpaka kieleweke..!!
Mtoto mzuri yule usimuachie kizembe.
Kwamba umekata tamaa au hujakata?Soma vizuri
Hata tamaa sina tunachangamsha corridor tu mimi zangu ziwani tuKwamba umekata tamaa au hujakata?
Au humtaki tena?
Au sio 🤣🤣Huyo huyo 😹😹
Huyo shem naye jina lake gumu sana, hapo umekufa umeoza..!!
Kwakweli simjui😹😹 Acha zako wewee humjui huyo?
Hizi habari sina 🤣🤣Mkongomani hasikii haambiwi kwako, yeye ukimwambia lolote anafanya..!! 😹😹
😹😹😹 Wakatae kama nadanganya hapa?
Hata mi nachangamsha corridor 😹Hata tamaa sina tunachangamsha corridor tu mimi zangu ziwani tu
Siwezi acha pombe kamwe 😅 kama hawanitaki na ulevi wangu Wakefie mbali tu😅😅
Haya selfika basi Mrs Marcostilone 🔥Au sio 🤣🤣
Kwakweli simjui
Hizi habari sina 🤣🤣
Hata yeye mkongomani nadhani pia habari hizi hana 🤣🤣🙌🏼
Unajiamulia mambo heaven gelo
Chat kwa pichaHata mi nachangamsha corridor 😹
Ukweli unaujua wewe..!!
Hakuna nilipodanganya upande wako wa crush 😹Umedanganya upande wangu.
Haya pitaChat kwa picha
Hakuna nilipodanganya upande wako wa crush 😹
Kwa kweli mshikaji namuelewa yaani vitu vyangu kabisa 🤗🔥Haya selfika basi Mrs Marcostilone 🔥
VAR yangu imekuona na wewe humo papaa mbona unakataa kwa nguvu sana? 😹Chica Gee na Steve Rogers , hawa ndo wanajikwaa pamoja.