Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Uoga huo!Ngoja nimuombe ruhusu ya kumtaja. Nisije kutaja hapa, akaniacha.
Mapenzi hayaogopi huwa yanaflow..!!
Kwanza atafurahi trust me, mtaje..
Uoga huo!Ngoja nimuombe ruhusu ya kumtaja. Nisije kutaja hapa, akaniacha.
Kweli lakini haya banaKila mmoja na ndoa yake, ya A sio ya B
Huyo crush wake naye atakua mshamba sasa 😹😹Endelea kumharibia kwa crush wake 💔
Nilitaka kusema huyo mkongo haeleweki mi naona kila sehemu anataka kuweka mguu🤣🤣🙌🏼
Kasoro kwangu umemsingizia
Eti eeh cha peke yako kaburi basi sawa🤣Huyo crush wake naye atakua mshamba sasa 😹😹
Mana yake chivundu alimzalia yeye peke yake? 😹
Safii endelea kujitunza 🤗Wala, ningekuwa wa kuweka miguu kila sehemu, ningeshajukikana hapa. Wanawake wa humu ni mashosti, ukitongoza mmoja, wanakaa kama kijiji.
Kwa mfano ukimtongoza Mallerina, lazima Lamomy & Co zitajua. 😊
Safii endelea kujitunza 🤗
Yupo humu humu ?Sio kujitunza, mtu yupo.
Na kweli ndoa tuachieni sisi masikini hatuna Cha kupoteza zaidi ya nguvu za kiume.Aaa wapi huko kwa kina ndoa kila siku mapanga nje nje
Kuna mtu kajitia kitanzi kwa kunyimwa kei 💔 huko kwenye ndoa mnanyimana ?Na kweli ndoa tuachieni sisi masikini hatuna Cha kupoteza zaidi ya nguvu za kiume.
Ndiwoo 😹Eti eeh cha peke yako kaburi basi sawa🤣
Kwahiyo unamuogopa kumtaja? 😹Sio kujitunza, mtu yupo.
Mwenyewe kasema mtu yupo hataki tu midomo midomoNdiwoo 😹
Kama anajiamini yuko peke yake amtaje 😹Mwenyewe kasema mtu yupo hataki tu midomo midomo
Na unamnyimaje mwenzio?Kuna mtu kajitia kitanzi kwa kunyimwa kei 💔 huko kwenye ndoa mnanyimana ?
Kwahiyo unamuogopa kumtaja? 😹
Mtaje ili uwajue wenzio mnaoshare kumdonyoa..!! Hii sikufundishi tena 😹
Umalaya huo 😹Na unamnyimaje mwenzio?
SIjajua huyo kanyimwa kwa mda gani mpaka akaamua kutekeleza hayo maamuzi yako?
Ila na yeye kei zote hizi akaamua kujitundika. Na mashaka na vitu alivyokua akipewa marehemu na mke.
Kuna watu wamebarikiwa sana nashangaa watu wanaosema kei ni kei. Oyaaaa haha.
Kama anajiamini yuko peke yake amtaje 😹
Una kisukari? 😹😹Sitaki kuleta vayolensi bwana.