Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Sasa muongeze viwango sio vipesa njaa makuwadi mnafeli wapi? 😹😹Mi na Coca ndugu 😂 Maokoto lazima
Khaaaa..!! 😹😹Yaani ungekuwa siriazi hii kazi naimaliza dakika nawapa na bnb yangu seaview au kijitonyama (Anasemaga kijitonyama kuna giza? 😂💔
Mate we kiboko, hadi bnb unagawa bure ili nikatumike mtoto wa mwanamke mwenzio?
Kwahiyo ya k/nyama ina giza? 😹😹
Hivi mfano mmefika mnaanzia wapi na mmeokotana JF? 😹😹
Haya mambo mengine yana wenyewe alooo!!
Mwenyewe ngumi mkononi 😹Mkorofi yule wewe afu ngumi mkononi Ila lizuri lina takoooo
Yeye akitaka tupige 3some atakayetawala mchezo bwana wa kwake..!! Hapo vipi? 😹😹😹
😹😹😹😹 kijiwe kisipoe mate..!!We nakujua mzinguaji hutaki mtu yeyote unachangamsha genge tu humu.