Selfika na JF: Snap it. Show it

Mi na Coca ndugu πŸ˜‚ Maokoto lazima
Sasa muongeze viwango sio vipesa njaa makuwadi mnafeli wapi? 😹😹
Yaani ungekuwa siriazi hii kazi naimaliza dakika nawapa na bnb yangu seaview au kijitonyama (Anasemaga kijitonyama kuna giza? πŸ˜‚πŸ’”
Khaaaa..!! 😹😹
Mate we kiboko, hadi bnb unagawa bure ili nikatumike mtoto wa mwanamke mwenzio?

Kwahiyo ya k/nyama ina giza? 😹😹

Hivi mfano mmefika mnaanzia wapi na mmeokotana JF? 😹😹

Haya mambo mengine yana wenyewe alooo!!

Mkorofi yule wewe afu ngumi mkononi Ila lizuri lina takoooo
Mwenyewe ngumi mkononi 😹
Yeye akitaka tupige 3some atakayetawala mchezo bwana wa kwake..!! Hapo vipi? 😹😹😹
We nakujua mzinguaji hutaki mtu yeyote unachangamsha genge tu humu.
😹😹😹😹 kijiwe kisipoe mate..!!
 
Muache babe wangu magayo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

(Mi naye ni polygamous bai nature, Spider nisamehe bebi 😘😩).
Atalindwa kwa gharama kubwa sana .

Ugomvi umeshindwa kumalizwa Jf , sasa nimepanga nimfuate anapoishi Sweeden tukamalizane kidiplomasia na nishampata msuluhishi kutoka Jf yupo huko huko Mamtoni kasema yupo tayari nikifika afanye arrangement ya meeting baina yetu 🀝

Itakuwa siku ya Historia Jf , nitaleta uzi wa mrejesho

Cheki hapa TBT babe wako akinibeza , hapo utajua kuwa Mimi si mkorofi πŸ˜‚
Your browser is not able to display this video.

πŸ˜‚
 
Naikumbuka hii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ila Magayo nyieeee πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ»
 
hua najiuliza ungekulia uswahilini ingekuaje.

Kuna mda unaashushaga paragraphy utafikiri ni wa kule kwa binyau kumbe wa kishua.

Mmoja ya vitu una viinjoy ni vita mchuchu! Tena sikuhizi naona una jizuia sana haha.
😹😹😹😹
Kuna mpuuzi mmoja alinambia Lamomy Ukiacha ukorofi JF utapendeza..!! Nitakuoa

Nikashtuka, mi nipo naenjoy JF kumbe kuna mtu anataka kunifanya wife material? Anataka kuniharibia maisha yangu..!! 😹😹😹
 
Natamani niwe jirani yenu niwapige chabo 😹
Mmoja ya dhambi ambazo nimewahi zifanya ni hii ya chabo kwenye makuzi yangu afu nayo Ina addiction tu kama pull.

Kuna siku ckujal hata CCTV camera nikasema potelea pote iyo bukoba iyo.

Lile chabo la katerero ni mmoja ya chabo zangu Bora kabisa ktk makuzi yangu huko nyuma
 
Umejuaje ni 38 we mchawi

Tbt nyingine hiyo nadhani ni 2021 nilianza kupata pata mwili, nadhani niliiweka humu hii picha mtunza ma file penseli atakuwa nayo
View attachment 3691467
Igweeeeeeeeee 😍😍😍

2face ile nyimbo yake ya African queen wewe ndo ulitakiwa uwe vixen πŸ”₯πŸ”₯

Yani Mond anahangaika nchi zingine kututia aibu wakati visu vipo hapa hapa bongo..!!

Yule Simba kweli au paka shume? 😹
 
Sasa muongeze viwango sio vipesa njaa makuwadi mnafeli wapi? 😹😹
Ukuwadi hautaki tamaa, la sivyo matajiri watashtuka hawakupi kazi tena πŸ˜‚
Khaaaa..!! 😹😹
Mate we kiboko, hadi bnb unagawa bure ili nikatumike mtoto wa mwanamke mwenzio?

Kwahiyo ya k/nyama ina giza? 😹😹
Mshenzi tu yule πŸ˜‚
Hivi mfano mmefika mnaanzia wapi na mmeokotana JF? 😹😹

Haya mambo mengine yana wenyewe alooo!!


Mwenyewe ngumi mkononi 😹
Yeye akitaka tupige 3some atakayetawala mchezo bwana wa kwake..!! Hapo vipi? 😹😹😹
Shindikanaaaa wewe! Mtu akikuchukulia serious anapotea 😩
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…