Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 3,964
- 11,078
😀😀😀 bahati yako hii leoDah! Kidogo nilale, kumbe ningepishana na mambo mazuri. Chica kumbe una rasta nzuri namna hiyo!!
😀😀😀 bahati yako hii leoDah! Kidogo nilale, kumbe ningepishana na mambo mazuri. Chica kumbe una rasta nzuri namna hiyo!!
Hilo limeisha mbona!Suala la monk liko pale pale 😹😹😹
Nyie ndio watu mpo halafu hampo selfika mmepiga kambi kimya kama wachawi yani.Rudia picha kaka..
🙏asante sana Dada na hiyo ndiyo imeniponza nikapitwa 😀Ka totooo ka zuriiiiiii mnyamwezi fulani hivi 🥰🥰🥰😍😍😍
Nimekuona mara ya pili leo.
Basiiiiiii imekwisha kwa sauti ya Joti🙏asante sana Dada na hiyo ndiyo imeniponza nikapitwa 😀
Onhoo kumbe sikuhizi nikipita nitakuwa nakutag
Disco kaingia Mmasai , huyo mwamba 100 others Mchambuzi wa vita vya Iran pamoja na makombora ya aina mbalimbali nimeshangaa ghalfa nimemkuta Selfika now 😂Nyie ndio watu mpo halafu hampo selfika mmepiga kambi kimya kama wachawi yani.
No offense.
Nikalale sasa kesho nayo siku, Usiku mwema😊🤭Basiiiiiii imekwisha kwa sauti ya Joti
Nimekosea kumuomba arudie picha?Nyie ndio watu mpo halafu hampo selfika mmepiga kambi kimya kama wachawi yani.
No offense.
😹😹😹hahaha!
Muone kwenda kulia hotelini peke ako
Naomba uwe manager wangu 😹Nyingi sana tunaanzia mainland had HK
Damu ya Yesu ikulinde babes 😘🤣 bye
Nimefanyaje? 👀Usiku mwema ndugu zangu. 😊
Ila Chica..
We nawe una gubu, pic yake ni pisi tena kali.Rudia picha kaka..
😹😹😹 Eehh wifi kila kitu chako kitakua kwenye line, muhimu niweke hapo..!!Hilo limeisha mbona!
Tena ukiwa wifi yangu jambo langu lileeeee litafanikiwa vizuri sana.
Huyo mbona mwenyeji inatakiwa yeye ndo akukaribishe wewe..!! 😹😹Disco kaingia Mmasai , huyo mwamba 100 others Mchambuzi wa vita vya Iran pamoja na makombora ya aina mbalimbali nimeshangaa ghalfa nimemkuta Selfika now 😂
Mkuu mimi humu kitambo sana.. na huwa naselfika mara kadhaa..Disco kaingia Mmasai , huyo mwamba 100 others Mchambuzi wa vita vya Iran pamoja na makombora ya aina mbalimbali nimeshangaa ghalfa nimemkuta Selfika now 😂