Mi nna kipini na masikio nimetoboa juu na chini..!! πΉπΉπΉSina kipini mie mkongo nilishindwa
Heleni za masikio tu sivai hata nina allergy na mabati na uwezo wa kununua zahabu sina π π π
πΉπΉtulia siku nikipita na kipini nakupa photoπ₯³Malaika kashuka sasa π₯π₯
Wewe pale uarabuni unatokea ukoo upi?
Mtoto mkareeeee mpaka mkareeee treennaa Ooh My God πββοΈ
Kwahiyo umechukua Uzuri wote mwenzetu? ππ
Naomba ya kipini puliiizzz
Njoo wtsp na wewe acha maringoππΉπΉπΉAcha zako we tupia humu vitu
πΉπΉπΉπΉlamomy umejaribu kufanya comedyLinda mgongo geuka mbele tukuone..!! πΉ
Umeanza visingizio vyako, em weka ya kipini leo nione..!! πΉπΉπΉtulia siku nikipita na kipini nakupa photoπ₯³
Imefungwa kila kitu ni hapa hapa jukwaaaniππ₯PM yako ipo wazi au umefunga? π
πΉhuamini ninachoUmeanza visingizio vyako, em weka ya kipini leo nione..!! πΉ
TuliaNjoo wtsp na wewe acha maringoπ
πΉπΉπΉ Ujue wewe wa ngapi sijui unasema hivi..!!πΉπΉπΉπΉlamomy umejaribu kufanya comedy
Siamini, unanipanga..!!πΉhuamini ninacho
Achana na Vijora ππΉfanya comedyπΉπΉπΉ Ujue wewe wa ngapi sijui unasema hivi..!!
Mi napenda utani na masihara tu!
Ila ukinikuta nimechafukwa nachafukwa kweli Sakasaka Mao ananipata vizuri..!! πΉ
Usinikatili mrembo,Tulia
Weeh ushindwe πΉπΉAchana na Vijora ππΉfanya comedy
Inabidi aiseee vishimoooo kwenye mashavuππΉπΉπΉ Tuongee na mods wakupe mic
πΉπΉπΉπΉπΉWeeh ushindwe πΉπΉ
Vijora vinanipa jeuri town, hapa nasubiria visa itoke nisepe nikachukue vya Xmas na nyuu hiya..!! πΉπΉ
Mi napenda urembo, pesa zangu nyingi naspend kwenye hivyo vitu aisee..!!Hajapata tuu mwanaume mpenda hereni, bracelets, ankles and necklace aka mfundisha vitu hivyo.
Anatakiwa apelekwe kwa Sonara. π
Imefungwa kila kitu ni hapa hapa jukwaaaniππ₯