ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Amesema wapi 😅😅Chivundu kakwambia akupeleke sonara bill kwake naona unamkwepa..! 😹
Amesema wapi 😅😅Chivundu kakwambia akupeleke sonara bill kwake naona unamkwepa..! 😹
😅😅😅🙌🏼Hajapata tuu mwanaume mpenda hereni, bracelets, ankles and necklace aka mfundisha vitu hivyo.
Anatakiwa apelekwe kwa Sonara. 😊
Pandisha huko juu katoa offer 😹😹Amesema wapi 😅😅
Amesema natakiwa kupelekwa sio anipeleke woiiiiPandisha huko juu katoa offer 😹😹
Wewe ni nani tena😅nipe account nikuweke chapa ukafanye shopping then uje tuyajenge 😁
I'm serious
Muhimu, umeona mimi Navaa bracelet na saa kwa wakati mmoja..!! Na kipini juu 😹😹
Chain, pete na napenda kunukia kuliko chochote..!
😅😅😅🙌🏼
Mnajua kunivua nguo💔
Una chambaaa hakyamungu lol 😅Mwanamke ni namna anavyojiweka, haiba yake, exposure, mavazi yake na namna anavyojichulia, na hivyo hivyo ndivyo anavyotazamwa na wanaume.
Ukiwa na haiba flani na kuji position vizuri, hata wanaume unapata wa sawa na hadhi yako.
Una chambaaa hakyamungu lol 😅
Mie niulize kutupia raba na jeans na nywele ndio vitu vyangu 🔥🔥🔥🔥
Nadhani mshikaji wangu anapenda hizo pigs japo sometimes natinga hata buibui sikaririki
Aise
Efiyuumomenti letaTupe basi kapicha ka baibui.. 😊
Nimebembeleza Toka asbhWe ulikuwa wapi😁🤣
Nikipita ntakushtuaNimebembeleza Toka asbh
Pita saiviNikipita ntakushtua
TyrPita saivi
Mtoto halali na hela unadhani kuna kuitwa hapo 😄Nikipita ntakushtua