πΉπΉπΉ Niliwahi kupewa zawadi eti kisa nna dimpoz..!!Inabidi aiseee vishimoooo kwenye mashavuπ
mh!πΉhamna mwanamke mbaya duniani
Mbona umeharibu pic sasa? πΉπΉLamomy πΉπΉπΉπΉmwendo wa vipini tuπ₯π₯shemeji yenu anakipenda kweliView attachment 3691956
Yap
Toto la kishuaπ€£Lamomy πΉπΉπΉπΉmwendo wa vipini tuπ₯π₯shemeji yenu anakipenda kweliView attachment 3691956
Hio ndo tamu banaπΉπΉπΉπΉπ₯π₯π₯Mbona umeharibu pic sasa? πΉπΉ
Hebu weka vizuri tuone uumbaji..!
Ata wako huyo ni mrembo pia!!Yap
Ata wako huyo ni mrembo piaπΉπ₯³π©·π©·π©·π©·
Chat kwa picha sasa RedblackAta wako huyo ni mrembo pia!!
Yupi huyo??
Picha zipi?Chat kwa picha sasa Redblack
πππππPicha zipi?
Mi napenda urembo, pesa zangu nyingi naspend kwenye hivyo vitu aisee..!!
Yani ni bandika bandua,
Em papaa mpeleke sonara huyo πΉπΉ
Nina allergy nafaa kuvaa zahabu tuSema huzipendi au una allergy nazo, hereni zipo nzuri coated.
Nina allergy nafaa kuvaa zahabu tu
Hebu nisongeshee hata 100k nipendeze sikio liache kukaa uchi mambo gani haya kudhalilika π πMi nna kipini na masikio nimetoboa juu na chini..!! πΉπΉπΉ
Toboa masikio, kachongeshe hata gram 1 bana, mrembo unakosaje kuvaa hereni?
Muhimu, umeona mimi Navaa bracelet na saa kwa wakati mmoja..!! Na kipini juu πΉπΉWardrobe ya mwanamke anaejipenda lazima iwepo droo ya vitu hivyo. Ni sawa na mwanaume jitahidi kuwa na saa nzuri, kiatu kizuri na unukie vizuri.
nipe account nikuweke chapa ukafanye shopping then uje tuyajenge πHebu nisongeshee hata 100k nipendeze sikio liache kukaa uchi mambo gani haya kudhalilika π π
Kwahiyo sisi hatujipendi ?Wardrobe ya mwanamke anaejipenda lazima iwepo droo ya vitu hivyo. Ni sawa na mwanaume jitahidi kuwa na saa nzuri, kiatu kizuri na unukie vizuri.
Chivundu kakwambia akupeleke sonara bill kwake naona unamkwepa..! πΉHebu nisongeshee hata 100k nipendeze sikio liache kukaa uchi mambo gani haya kudhalilika π π