Selfika na JF: Snap it. Show it

Muhimu, umeona mimi Navaa bracelet na saa kwa wakati mmoja..!! Na kipini juu 😹😹
Chain, pete na napenda kunukia kuliko chochote..!

Mwanamke ni namna anavyojiweka, haiba yake, exposure, mavazi yake na namna anavyojichulia, na hivyo hivyo ndivyo anavyotazamwa na wanaume.
Ukiwa na haiba flani na kuji position vizuri, hata wanaume unapata wa sawa na hadhi yako.
 
Una chambaaa hakyamungu lol πŸ˜…
Mie niulize kutupia raba na jeans na nywele ndio vitu vyangu πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Nadhani mshikaji wangu anapenda hizo pigo japo sometimes natinga hata buibui sikaririki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…