Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Shem leo kazi ipo..!! 😹View attachment 3692038
Nisiulizwe.
Cocaaaaaaaaaa 📣
Njoo mumeo halfcast kashafika anapita naked..!!
Shem leo kazi ipo..!! 😹View attachment 3692038
Nisiulizwe.
Tangu useme unapita hupiti🤣
Coca ni braza?Kivipi?
mbona mnataka kunigombanisha na brother cocastic..?
Yupo vizuri ila pic ajitahidi zionekane vizuri, anatuumiza macho..!!Yani mpaka tuchanganyikiwe😹😹ila yupo vizuri
Kwanini mkuu.?Steve una duka la simu?
Nakumbuka niliwahi kuiona sura yako kwenye duka la simu na sio dar ni mkoani..!!Kwanini mkuu.?
Nimemfungia ndani Leo hatokiShem leo kazi ipo..!! 😹
Cocaaaaaaaaaa 📣
Njoo mumeo halfcast kashafika anapita naked..!!
Hata angekuwa mwanamke sidhani kama angemfikia manzi wangu... niliye naye ananitosha...Coca , ni braza?
Au unampenda unashindwa kumwambia tukusaidie?
Bora ni picha😹😹😹ila sio picha boraYupo vizuri ila pic ajitahidi zionekane vizuri, anatuumiza macho..!!
Hamna kitu AI kakuchomesha 😅😅
Huu ujinga ndo mnafanya watu waache kuselfika, mnatuharibia uzi em kwendeni..!!
Ni upuuzi tu kwanza hakuna uhalisia wala niniHuu ujinga ndo mnafanya watu waache kuselfika, mnatuharibia uzi em kwendeni..!!
HahahaHamna kitu AI kakuchomesha 😅😅