Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Asili yangu nina nywele nyeusi, nadhan na usafi pia

Kwa wengine Brown huwa ni nywele yake na wengine ni Uchafu
Oooh hapo sawa, ninao waona wengi sio rangi ya nywele, ni uchafu wao tu.

Hongera kwa kutunza ras, ni nzuri na zinavutia.
 
Hivi ni kwanini msiunde group la Whatsapp tu, hii ya kutuma na kufuta ni utoto na ulimbukeni tu
 
Asili yangu nina nywele nyeusi, nadhan na usafi pia

Kwa wengine Brown huwa ni nywele yake na wengine ni Uchafu

Usafi wa kuzidi ni moja ya sifa zangu tano za kupenda na kuoa mtu. 😊
Mwanamke vyovyote awavyo, akiwa msafi tayari kwangu ana C.
 
Laiti kama ungejua moyo wangu basi kwa heshima tu ungeacha kutaka ku interact na mimi na sio kwa ubaya

Sipendelei sana kua karibu na toxic people 🙏🙏
Inahusianaje na nilicho kiandika hapo? 😂

Au tayari sumu imepanda?
 
Back
Top Bottom