Hahaha aweke picha tu kama ni madini wala mimi sina hiyana bwashee πNdio niamini Mangi. Attention yote ipo kwako..π
Leo naomba tukuone naweye mi naweka sana tuWeka yako, naweka yangu. Simple.
Ewe Mungu wa rehema umsamehe huyu binti maana hajui alitendalo.Vipi unataka kuukalia mkia wangu? π
Leo naomba tukuone naweye mi naweka sana tu
Si kweli. Wewe unaishiaga kutuchora tu nakudiskas!!Mimi pia naweka sana tuu! π
Watu wanafaidi
Warembo kama hawa miaka nenda rudi bado wanatikisa tuπ ila kuna vikuku vishingo wanachukia reply zetu wanataka tuwadanganye tuπ
Eti vikuku kishingoWarembo kama hawa miaka nenda rudi bado wanatikisa tuπ ila kuna vikuku vishingo wanachukia reply zetu wanataka tuwadanganye tuπ
Bwashee haya maisha yana mambo mengi ujue πEti vikuku kishingo
Naelewa mnamaBwashee haya maisha yana mambo mengi ujue π
Bwashee haya maisha yana mambo mengi ujue π
Duh kumbe Mahondaw ndo wa mpto hivi? Hongera, you are beautiful.
Tule bia kwa wakati bwashee πNa mambo mengi ndio maisha yenyewe.