Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Asee kwa sasa unafki basi ,nyeupe ni nyeupe nyeusi ni nyeusi tu Bwashee 😅Naelewa mnama
Pita acha maneno mengi, tena upite ukiwa na kisungura chako..!! 😹Nooo😅 kwmba unahisi ni kweli?😅
Weka picha tukuone chiwaEwe Mungu wa rehema umsamehe huyu binti maana hajui alitendalo.
Tule bia kwa wakati bwashee 😅
Hahahahaha😅😅 mimi kupita ni kugusa halafu sifuti😅Pita acha maneno mengi, tena upite ukiwa na kisungura chako..!! 😹
Mbona umeng'ang'ana nipite umetumwa ?Mallerina, ShesRise_1, ni zamu yenu sasa.
Pita sasa!Hahahahaha😅😅 mimi kupita ni kugusa halafu sifuti😅
😹😹😹 Anataka kukushindanisha..!!Mbona umeng'ang'ana nipite umetumwa ?
Kwa nini nidanganye 😅 ni lini nilishawadanganya😅Pita sasa!
Au unatafuta pic ya kutudanganyia? 😹
Mbona umeng'ang'ana nipite umetumwa ?
Anataka kunishindanisha na nani kwa mfano ?😹😹😹 Anataka kukushindanisha..!!
Bwashee nalipa kwa kunywa bia 10 kwa dakika 10 kila bia moja dakika moja 😅 ngoja nilog out😅Kwani siku zote niking'ang'ania upite nakua nimetumwa. Haya basi karibu bia.
Wewe kabla hata hujanipa mwenyewe najikubali 😹😹😹Kwanini wakati wewe nishakupa 9.5 kati ya 10. 😊
Ndio nashangaa siku zote napita kwa hiari yangu leo nakaliwa kooniKwani siku zote niking'ang'ania upite nakua nimetumwa. Haya basi karibu bia.
😹😹😹 Anataka kukushindanisha..!!
Bro. Dzain nimeitaman hizo castle lite can.Kwani siku zote niking'ang'ania upite nakua nimetumwa. Haya basi karibu bia.
Sasa hawa ndio totozi tunapenda wa exist humu selfika , mtoto mzuri umekamilika kabisa😊Wewe kabla hata hujanipa mwenyewe najikubali 😹😹😹
Muhimu nna sura ya kutazamika..!!
Haya tupia sasa acha keleleKwa nini nidanganye 😅 ni lini nilishawadanganya😅