Selfika na JF: Snap it. Show it

Lamomy ww ni mzur . Hongera sana,
Classic kabisa.

leo nina bahat kweli nimepita mitaa hii na kuona selfika 2 tatu. 😊😊😊😊.
Mnakuwaga adimu sana.
Hapo kwenye u classic hapo… rabhekaaaa 😹

Hivi hujawahi kunifumania kumbe?
Sasa zile pic mnazosambaziana huko pm za kina nani? 😹😹😹
 
Hapo kwenye u classic hapo… rabhekaaaa 😹

Hivi hujawahi kunifumania kumbe?
Sasa zile pic mnazosambaziana huko pm za kina nani? 😹😹😹

Kuna mandezi wawili watatu ndio wanavuruga aman ya selfika.

Mm pia Nilitumiwa picha za wadada watatu , eti kama nawataka wanipe connection 😊😊😊😊.
Nikampuuza aliyenitumia.
Ni id mpya.
 
Kuna mandezi wawili watatu ndio wanavuruga aman ya selfika.

Mm pia Nilitumiwa picha za wadada watatu , eti kama nawataka wanipe connection 😊😊😊😊.
Nikampuuza aliyenitumia.
Ni id mpya.
Pic yangu hujapewa? 😹😹

Tunawajua hao vivuruge wanaosambaza pic za wadada ndio hao hao wako mstari wa mbele kuponda kwenye nyuzi zao..!!

Yote wadada wamegoma kuwapa attention
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…