Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
๐น๐น Huyo ana kibuzi chake kinamnunulia migambuti basi anatusumbua kweli..!!Umeanza kumchokonoa Nicole Scherzinger Lamomy. ๐
Hata saa 8 usiku akiitwa anakipeleka afu pesa hana..!!
Si bora apoe kwako walau ataambulia vitour vya kwenda kushangaa tumbili Mikumi ๐น๐น๐น