Selfika na JF: Snap it. Show it

๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น wa kimoja chali?
Ndiooooo sitaki heka heka bana ๐Ÿ˜ž
Nilikua kusaka makuta ๐Ÿ˜น
Aloooooo pesa na iheshimiwe na watu wote mimi sio wa kusinzia kama teja kisa kuzisaka faranga au nioelewe tu ๐Ÿคฃ
Mzigo unao mwali wangu anayebisha ana wivu na wewe..!! ๐Ÿ˜
Mwajuma nichokonoe yupi huyo anayeanzisha uzi?
Nani mwingine jamani mwenye ngebe na trauma na watoto wa kike JF ๐Ÿคฃ
Em nitag kwanza ๐Ÿ˜น
Niliona jujuu hata sijui huo ushuzi ulipo ๐Ÿคฃ
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น kijora najitolea kumpa bure tusutane naye..!!
Mie nanunua ushanga wa kiuno wa zahabu na kikuku
Li Kiranga, ni lidude likuuuuubwaaa JF halinaga drama..!! ๐Ÿ˜๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
Lenyewe ni kugonga facts tupu, hao low minded kawaacha mbali sana..!! ๐Ÿ˜น
Wanaume ninaovutiwa nao ni kama hawa mwanaume hana upuuzi

Mtu amenyooka ukisoma una Yes Yes Yes like unasikilizia ๐Ÿ˜๐ŸคŒ

Halafu ujue hizi issue sipendagi napenda zangu mambo ya hoja ila ndio hivyo adui ninae muweza saivi simuachii Mungu shenziiii
 
We bana tulia hapo, shem anaonekana mambo safi uhakika wa kulala upo ana mjengo mkali..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Sasa mngโ€™angโ€™anie Mr mandula uishie kuitwa mpangaji na wakati mjengo wa bure upo..!!
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃingekuwa ww ungekubali?
 
Kumbe chatungi ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Si niliwaambia mumpe muache kumnyima ๐Ÿ˜น

Yule anakupenda tatizo humzingatii anaona hasira zake akuchokoze..!!

Wachaga hawajui kutongoza ni masimp msamehe bure..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ