π π tulia papaa
π€Sawa.
πΉπΉπΉ Unamsimanga bure katekista mtoto halali na hela kumbe wote mpo sawa..!!πΉπΉπΉkwahioo mimi nimezeeka kumbe
Nimefika ndo naingia nimetoka kwa da Mau πΉπΉLamomy chairladyπ€£π€£π€£ngoja aje kunirukia
Nipeni samaree πΉπΉKutaanza upyaaaa
Lazima tuchimbue πΉπΉhahahahaha, dah kazi unyo
Kweli hakuna wageni mpaka Mallerina nilikua najua ni Gen z wa jf mpya naye anamjua demiss.πΉπΉπΉ JF. Hakunaga wageni
Muone huyu lol πKapachino njoo ujionee zawadi zako zinagawiwa Xmas πΉ
JF ni msitu wa Amazon πΉπΉKweli hakuna wageni mpaka Mallerina nilikua najua ni Gen z wa jf mpya naye anamjua demiss.
Sema kipindi kile aliijua sana kuichangamsha jf! Alikua hapoi.
Alikua haringi dada wa watu alikua mcheshi kwa Kila mtu! Mara ya mwisho aliolowa na Godume ndoa haikuchukua hata siku saba wakaachana.
Ndiyo mzee wa kilenge Mshana Jr akamuopoa nakumuweka ndani;
Hahaha muache bana ShesRise_1 enjoy!!!Kapachino njoo ujionee zawadi zako zinagawiwa Xmas πΉ
Godume ulimkuta?JF ni msitu wa Amazon πΉπΉ
Kwanini waliachana ndani ya muda mfupi hivyo?
Kwahiyo ankal mshana ndo wife wake now?
Safiii kijana anajua kabisa umemfia halafu anataka kujitoa kwakoHahaha muache bana ShesRise_1 enjoy!!!
πΉπΉπΉ Pesa nazitoa wapi?Muone huyu lol π
Binti si nilisema umbeya haukupendezi
Mdada mwenye mapesaa yako heb muache shem darling wangu
Halafu chivundu kasema hajui vya kunyonga wala vya kuchinjaπ π
πΉπΉπΉ Sijamkuta, huyo tungekua tunakesha nahisi..!!Godume ulimkuta?
Nahisi huyu ungegombana nae daily alikuwa anawapiga spana za kutosha madada wa jf kipindi kile.
Mshana ndo anajua demiss yuko baada ya harusi yao ya kilingeni ndio mtoto wa watu akapotea. Sababu kama ni picha picha zilizowekwa jf kiuhalizia alikua ni mzuri kwa level yake picha zile sikuona shida kabisa; labda expectation za jf walijua ni kama zailissa flani ndiomana wengi wakambully ilikihualisia she was cute
πΉπΉπΉ Mbona kinyonge sasa?Hahaha muache bana ShesRise_1 enjoy!!!